0:00
NYOTA WETU.
Polisi wanawashikilia watoto wawili wa msanii maarufu wa Nigeria mwigizaji, John Okafor maarufu Mr Ibu kwa madai ya kuiba Tsh 153 fedha za michango ya matibabu ya Mr Ibu ,na kujaribu kutorokea nchini Uingereza.
Onyeabuchi Okafor na Jasimine Okekeagwu wanadaiwa kudukua taarifa za kibenki za Mr. Ibu na kuiba fedha hizo ambazo ni kwaajili ya matibabu ya nyota huyo ambaye aliugua kwa muda mrefu na kuomba kuchangiwa matibabu yake baada ya kukatwa mguu mmoja.
Aidha,kati ya fedha hizo mamlaka imefanikiwa kurudisha takribani milioni 139 huku watuhumiwa hao wakiachiwa kwa dhamana huku wakitarajiwa kufikishwa Mahakamani Machi, 2024.
Related Posts 📫
Mkataba wa Singida na kibabage utaisha 2025, na atarejea katika...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Morocco's selection to co-host the 2030 FIFA World Cup alongside...
OUR STAR 🌟
Comed
ian Bovi has joked about his wife...
AFYA
MADHARA YA FANGASI UKENI👇
Madhara yafuatayo yanaweza kutokea ikiwa mgonjwa mwenye...