MGAO WA UMEME NCHINI TANZANIA MWISHO NI MACHI

0:00

HABARI KUU.

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Judith Kapinga amesema mgao wa umeme utamalizika kufikia mwezi Machi, 2024 baada ya majaribio ya mtambo namba tisa wa uzalishaji umeme katika Bwawa la Mwalimu Nyerere kufanyiwa majaribio jana.

Kapinga ameyasema hayo leo,Februari 16,2024 wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa LUPEMBE, Edwin Swale aliyehoji taarifa za mitandaoni kuwa leo ingekuwa siku ya mwisho ya mgao wa umeme nchini.

Hata hivyo, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Akson ameipa serikali mpaka mwezi Juni ,2024 ili kusiwe tena na mgao wa umeme nchini.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

HISTORIA YA JENERALI ULIMWENGU NGULI WA SIASA...
NYOTA WETU. Jenerali Ulimwengu, Alizaliwa April 4 ya mwaka 1948...
Read more
Jinsi Mwanamke Anavyoweza Kuinua Uchumi wa Mwanaume
Wasichojua vijana wengi moja ya siri ya mafanikio ni mwenza...
Read more
Teachers and Government at Odds Over Budget...
The Teachers Service Commission (TSC) has informed the Education Committee...
Read more
Usajili wa Nyota Mpya Chadrack Boka ni...
Nyota mpya wa klabu ya Yanga Sc, Chadrack Boka bado...
Read more
FRANK LAMPARD WANTS COLE PALMER TO BECOME...
SPORTS Legendary footballer and former Chelsea manager Frank Lampard has...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  KURASA ZA MAGAZETI YA HIVI LEO 27/06/2024