Mwanaharakati na Mchambuzi wa masuala mbalimbali ya kijamii na kisiasa Godlisten Malisa anashikiliwa na Jeshi la Polisi ikiwa ni muda mfupi baada ya kuahirishwa kwa kesi inayowakabili yeye na aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es salaam.

Taarifa za awali zinaeleza kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Malisa kwa kile walichodai ana shtaka jipya Mkoani Kilimanjaro na hivyo Jeshi hilo limeanza safari ya kumpeleka Mkoani humo ili kuendelea…

Continue ReadingMwanaharakati na Mchambuzi wa masuala mbalimbali ya kijamii na kisiasa Godlisten Malisa anashikiliwa na Jeshi la Polisi ikiwa ni muda mfupi baada ya kuahirishwa kwa kesi inayowakabili yeye na aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es salaam.

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amekiri kuwa chama chake cha African National Congress (ANC) kimepata changamoto katika matokeo ya uchaguzi, baada ya chama hicho kupoteza wingi wa kura kwa mara ya kwanza tangu utawala wa kibaguzi kumalizika miaka 30 iliyopita.

Chama cha ANC, ambacho kiliwahi kuongozwa na Nelson Mandela, kilishinda viti 159 katika bunge lenye viti 400 katika uchaguzi wa Jumatano, idadi ya chini kutoka 230 katika bunge lililopita. Ramaphosa…

Continue ReadingRais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amekiri kuwa chama chake cha African National Congress (ANC) kimepata changamoto katika matokeo ya uchaguzi, baada ya chama hicho kupoteza wingi wa kura kwa mara ya kwanza tangu utawala wa kibaguzi kumalizika miaka 30 iliyopita.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Nyasa ambaye pia anagombea kutetea nafasi hiyo katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho, Mchungaji Peter Msigwa amewasilisha malalamiko dhidi ya Mjumbe wa Sekretarieti ya chama hicho John Mrema kwa kile alichokitaja kuwa mgongano wa masilahi katika uchaguzi wa kanda wa chama.

Katika barua aliyomwandikia Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika, Msigwa ameeleza kuwa mwenendo wa John Mrema unazua maswali kwani ameonesha dhahiri kuegemea upande wa mgombea mwenza wa uenyekiti wa kanda…

Continue ReadingMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Nyasa ambaye pia anagombea kutetea nafasi hiyo katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho, Mchungaji Peter Msigwa amewasilisha malalamiko dhidi ya Mjumbe wa Sekretarieti ya chama hicho John Mrema kwa kile alichokitaja kuwa mgongano wa masilahi katika uchaguzi wa kanda wa chama.

Peter Obi criticizes Tinubu’s administration for proposing to spend N10 billion on constructing a car park and other facilities in the national assembly

POLITICS Presidential candidate Peter Obi of the Labour Party has criticized the federal government led by President Bola Tinubu for its plan to spend N10 billion on a car park…

Continue ReadingPeter Obi criticizes Tinubu’s administration for proposing to spend N10 billion on constructing a car park and other facilities in the national assembly