FAHAMU NGUVU NA MAAJABU YA KITO CHA AMETHYST
Amethyst ni moja kati ya vito vya thamani vinavyojulikana kama SEMI PRECIOUS GEMSTONES vikitanguliwa na Ruby (Marijani), Diamond (Almasi), Emerald (Zumaridi) na Sapphire (Yakuti Samawi) ambavyo hujulikana kama VERY PRECIOUS…