HATUA ZA KUFUATA KUHAKIKISHA MAMA ANAJIFUNGUA SALAMA

Kupata ujauzito ni jambo la kusisimua na lenye kuleta furaha kwenye familia baina ya wapendanao. Na Ili kuhakikisha afya njema kwa mama na mtoto, ni muhimu kuchukua hatua sahihi mara tu baada ya kugundua kuwa mama ana ujauzito. Zifuatazo ni hatua muhimu za kuchukua baada ya mama kupata ujauzito; 1️⃣. Panga Ziara ya kumuona Daktari:… Continue reading HATUA ZA KUFUATA KUHAKIKISHA MAMA ANAJIFUNGUA SALAMA

KURASA ZA MAGAZETI YA HIVI LEO

Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

During menstruation, there are no specific activities that women universally should avoid, but there are some common recommendations and considerations to help manage comfort and health:

Here some few tips; 1) Avoid Overexertion:While exercise can help alleviate cramps and improve mood, it’s important to listen to your body and avoid overly strenuous activities if you’re feeling fatigued or in pain. 2) Skip Tampons if Risk Factors for TSS:If you have a history of Toxic Shock Syndrome (TSS) or have certain risk… Continue reading During menstruation, there are no specific activities that women universally should avoid, but there are some common recommendations and considerations to help manage comfort and health:

KURASA ZA MAGAZETI YA LEO YA TANZANIA

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

A FEW TRUTHS ABOUT SEX POSITIONS

SOME COMMON MISTAKES LADIES MAKE IN THEIR LIFE

No man would want to propose marriage to a lady whose phone is always talking and laughing with unserious calls. You may not be a playgirl, but he would judge you as one, and will likely flee at the slightest chance! A slight makeup is okay; try always to look simple and natural, it will… Continue reading SOME COMMON MISTAKES LADIES MAKE IN THEIR LIFE

WANAUME WENYE MALENGO YA KUOA WANA UMRI HUU NA WANA SIFA ZIFUATAZO

MAPENZI DADA YANGU KABLA HUJAANZISHA MAHUSIANO NA MWANAUME HUU NDIO MGAWANYO WA WANAUME KULINGANA UMRI WAO Hapa ndipo wanawake wengi huachwa wakionekana wanashindwa kuwa kwenye malengo, hapa ndipo single father wengi hupatikana kwasababu vijana wengi huanza kuishi na wanawake kabisa kama wake au hujiachia kwenye mahusiano yao wakiamini hao ndio watakuwa wake zao. Maisha ya… Continue reading WANAUME WENYE MALENGO YA KUOA WANA UMRI HUU NA WANA SIFA ZIFUATAZO

NI KWANINI VIJANA NCHINI JAPAN HAWAPENDI KUINGIA KWENYE MAHUSIANO?

Kiwango cha uzazi nchini Japan ambacho kimezidi kushuka kwa kasi kwa miaka mingi na kufikia rekodi nyingine ya chini zaidi hivi karibuni, kimeifanya Serikali ya Nchi hiyo kuongeza ubunifu kwenye kampeni zake za kuwahimiza Vijana kuoa na kuanzisha familia ambapo sasa imezindua Program ya simu ambayo kazi yake mahususi ni kurahisisha Watu kuchumbiana. Kwenye program… Continue reading NI KWANINI VIJANA NCHINI JAPAN HAWAPENDI KUINGIA KWENYE MAHUSIANO?

Chelsea acquired the services of defender Tosin Adarabioyo from Premier League rivals Fulham.

SPORTS Chelsea Football Club has acquired defender Tosin Adarabioyo from Fulham on a no-cost transfer. The 26-year-old has inked a four-year contract with the Blues. Adarabioyo, who transferred to Fulham from Manchester City in 2020, expressed gratitude to Fulham supporters and the club on Thursday through a statement on his X page. In a heartfelt… Continue reading Chelsea acquired the services of defender Tosin Adarabioyo from Premier League rivals Fulham.

Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wamemteua Mhe.Veronica Mueni Nduva kutoka Jamhuri ya Kenya kuwa Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Mabadiliko hayo katika Sekretarieti ya EAC yamefanyika baada kuondolewa kwa Peter Mathuki Machi 8, ambaye anashutumiwa katika mambo mbali mbali hasa matumizi mabaya ya madaraka. Rais Ruto alimwita Mathuki nyumbani na kumteua kuwa Balozi wa Kenya nchini Urusi. Mkutano huo umefanyika wakati ukanda wa Afrika Mashariki ukikabiliwa na uhaba mkubwa wa pesa. Mwezi uliopita, Mahakama… Continue reading Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wamemteua Mhe.Veronica Mueni Nduva kutoka Jamhuri ya Kenya kuwa Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner