WAFANYABIASHARA WAMUOMBA RAIS TINUBU KUWAPA WANAJESHI WA KULINDA MAFUTA

HABARI KUU Muungano wa wafanyakazi wa mafuta nchini Nigeria umemuomba Rais Bola Tinubu kupeleka wanajeshi zaidi, ili kukabiliana na wizi wa mafuta. Ombi hilo linakuja kufuatia wizi mkubwa wa mafuta kwenye mabomba na visima ambao umekuwa ni changamoto kwa Tinubu katika miaka ya hivi karibuni, huku ikidaiwa anapoteza fedha za Serikali na kupunguza pato na… Continue reading WAFANYABIASHARA WAMUOMBA RAIS TINUBU KUWAPA WANAJESHI WA KULINDA MAFUTA

WAZIRI MKUU OUSMANE SONKO ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI SENEGAL

HABARI KUU Siku tatu baada ya kuapishwa kwa Rais wa tano wa nchi ya Senegal Bassirou Diomaye Faye, Waziri Mkuu Ousmane Sonko ameunda Serikali mpya yenye Mawaziri 25 na Makatibu watano wa Serikali. Katika Mawaziri hao ishirini na tano, karibu kumi kati yao walikuwa wanaunda serikali iliyopita chini ya Macky Sall. Waziri wa Mambo ya… Continue reading WAZIRI MKUU OUSMANE SONKO ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI SENEGAL

SPIKA WA BUNGE ATOA YA MOYONI KUHUSU YANGA KUDHURUMIWA GOLI

HABARI KUU “Mimi niliona ni goli” Akizungumza na Idhaa ya Taifa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt . Tulia Akson Mwansasu ametoa maoni yake kuhusu goli lililofungwa na Yanga. “Niseme kama Mtanzania ningetaraji timu zetu zingesonga zaidi ila wamejitahidi kwa kweli kufika robo fainali timu mbili kutoka nchi moja sio jambo… Continue reading SPIKA WA BUNGE ATOA YA MOYONI KUHUSU YANGA KUDHURUMIWA GOLI

STORI YA MIKE TYSON KUKAA MIAKA 5 BILA KUFANYA MAPENZI

NYOTA WETU Kupanga ni kuchagua, ndicho alichowahi kukifanya bingwa wa ngumi duniani Mike Tyson kukaa miaka mitano bila ya kufanya mapenzi ili kulinda nguvu zake. Unajua ilikuwaje? Iki hivi, mabondia duniani wanaamini kufanya mapenzi kunamaliza nguvu mwilini, hivyo wapo wanaokaa miezi mitatu hadi sita wakiwa wanajiandaa na pambano. Sasa Tyson wakati anataka kuja kuwa bondia… Continue reading STORI YA MIKE TYSON KUKAA MIAKA 5 BILA KUFANYA MAPENZI

MAYELE: NINAWEZA KUJIUNGA NA SIMBA

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

HOW ACTRESS SARAH MARTINS ATTACKED WUNMI

OUR STAR 🌟 “When did you move from mourning Mohbad to mocking him?“ – Sarah Martins berates Wunmi:::: Actress Sarah Martins has taken to social media to attack Wunmi, the wife of the late artist Mohbad following recent banter with sister. The movie diva posted a lengthy message on her Instagram page expressing her disappointment… Continue reading HOW ACTRESS SARAH MARTINS ATTACKED WUNMI

BOBRISKY FAILS TO MEET BAIL CONDITIONS

OUR STAR 🌟 Popular crossdresser Bobrisky has reportedly failed to meet the bail condition set forth by the Economic and Financial Crimes Commission (EFCC). Recall that Bobrisky was taken into custody by the Lagos State Command of the EFCC after he misused the naira note by spraying. However, in a fresh update from The Punch… Continue reading BOBRISKY FAILS TO MEET BAIL CONDITIONS

“DOING MUSIC WAS NOT MY DREAM I WANTED TO PLAY FOR BARCELONA ” ZLATAN

Nigerian artist Zlatan Ibile has disclosed that he fell into music by accident and that his dream has always been to play for FC Barcelona. Zlatan Ibile revealed that his dream job was to be a football player after he struggled in secondary school. However, he claimed that the football system was corrupt, which prevented… Continue reading “DOING MUSIC WAS NOT MY DREAM I WANTED TO PLAY FOR BARCELONA ” ZLATAN

SABABU SINGAPORE KUKATAA KUANDAA MICHEZO YA JUMUIYA YA MADOLA

MICHEZO Singapore imekataa kuandaa Michezo ya Jumuiya ya Madola ya mwaka 2026, huku utaratibu wa kutafuta mwenyeji mwingine ukiendelea, imefahamika. Jimbo la Victoria la Australia lilijondoa kuwa mwenyeji wa awali wa michezo hiyo Julai mwaka jana kwa madai ya kuongezeka kwa gharama za uendeshaji. Malaysia nayo iliyopewa nafasi ya kuwa mwenyeji na kupewa Pauni milioni… Continue reading SABABU SINGAPORE KUKATAA KUANDAA MICHEZO YA JUMUIYA YA MADOLA

WAYS ON HOW TO HAVE PEACE IN YOUR MARRIAGE

LOVE ❤ 15 WAYS ON HOW TO HAVE PEACE IN YOUR MARRIAGE 1. BE BEST FRIENDSMarry your best friend. And when you are married, deliberately stay best friends. There is peace in close friendship. 2. HAVE A LOT OF SEXMaking love releases the tension and brings about intimacy. With intimacy comes peace. 3. BE RIGHT… Continue reading WAYS ON HOW TO HAVE PEACE IN YOUR MARRIAGE

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner