(Click on the star on form card to select)
Maandamano yazuka baada ya Mti wa Krismasi kuchomwa moto
Maandamano makubwa yamezuka nchini Syria baada ya tukio la kuchomwa kwa mti wa Krismasi karibu na jiji la Hama, katika uwanja mkuu wa mji wa Suqaylabiyah, eneo linaloongozwa na Wakristo…