16 TYPES OF DATES EVERY COUPLE SHOULD TRY:

Remember: Dating our special someone is the best way of sharing our best time to him/her, these are the kinds of date I suggested for building a happy and peaceful marriage life.

WHY MEN ARE CALLED “GROOM”, AND THE WOMAN “THE BRIDE” ON WEDDING DAY?…

Why is the newly wedded man called groom and the woman called bride? A friend of mine got tired of his wife just about six months after wedding. He complained bitterly to me about her and told me that he has concluded to break up with her; he went on to say that he was… Continue reading WHY MEN ARE CALLED “GROOM”, AND THE WOMAN “THE BRIDE” ON WEDDING DAY?…

KWANINI MAHUJAJI WANAKUFA KWENYE MIJI YA MAKKAH NA MADINA?

HABARI KUU Mamia ya mahujaji wamefariki dunia na maelfu wanatibiwa kutokana na magonjwa yanayotokana na joto kali walipokuwa wanatekeleza ibada ya kila mwaka ya Hija mjini Makkah, Saudi Arabia, huku joto likifikia nyuzi 49 (Fahrenheit 120). Wakati CNN ikisema waliokufa ni mamia, India Today imetaja zaidi ya 1,000 na The Guardian la Uingereza limetaja watu… Continue reading KWANINI MAHUJAJI WANAKUFA KWENYE MIJI YA MAKKAH NA MADINA?

JINSI POMBE ILIVYOUWA WATU 34 NCHINI INDIA

HABARI KUU Takriban watu 34 wamekufa baada ya kunywa pombe haramu ya kienyeji inayoaminika kuwa na sumu katika jimbo la Tamil Nadu, kusini mwa India, maofisa wamesema. Tukio hilo lilitokea katika Wilaya ya Kallakuruchi ambapo watu waliofakamia pombe hiyo walijikuta wako hoi muda mfupi baada ya kuinywa Takriban watu 80 wako hospitalini kutokana na kunywa… Continue reading JINSI POMBE ILIVYOUWA WATU 34 NCHINI INDIA

WALIOHUSIKA KUMUUA MTOTO ASIMWE WAKAMATWA HUKU IDADI YAO IKISALIA SIRI YA JESHI LA POLISI

HABARI KUU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari Jeshi la Polisi, limewakamata wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya mtoto mwenye Ualbino Asimwe Novath (2). Mwili wa mtoto Asimwe ulipatikana siku Jumatatu, Juni 17 ukiwa katika mfuko wa sandarusi, huku baadhi ya viungo vikiwa vimenyofolewa. Asimwe alichukuliwa na watu wasiojulikana nyumbani kwao… Continue reading WALIOHUSIKA KUMUUA MTOTO ASIMWE WAKAMATWA HUKU IDADI YAO IKISALIA SIRI YA JESHI LA POLISI

SPIKA TULIA NA MKONO WA CHUMA WA KUMNYAMAZISHA LUHAGA MPINA

MAKALA Luhaga Mpina ameeleza umma, maamuzi ya mawaziri, Hussein Bashe (Kilimo) na Mwigulu Nchemba (Fedha) yamepoteza mapato ya Serikali zaidi ya Sh580 bilioni. Kwa mantiki ndogo, upotevu wa fedha za Serikali ni zaidi ya ufisadi wa RICHMOND ambao ulimfanya Waziri Mkuu, Edward Lowassa kuwajibika kwa kujiuzulu. Badala ya bunge kuunda kamati teule kuchunguza taarifa kwa… Continue reading SPIKA TULIA NA MKONO WA CHUMA WA KUMNYAMAZISHA LUHAGA MPINA

Why Biologically Women are More Cleverly In Relationships than Men

LESSONS FOR YOUNG MEN. Women are born manipulators but men are not rather men are made manipulators. Women are more clever than men in their early stage of their life but men become more wiser than women in the late stage of their life. A woman life begins from fast to slow but a mans… Continue reading Why Biologically Women are More Cleverly In Relationships than Men

KURASA ZA MAGAZETI YA HIVI LEO

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

WHAT TO DO WHEN YOUR SPOUSE IS SUSPECTING YOU

Over the weekend, I saw a movie. The movie centres around a couple and their friends. I don’t know the name of the movie, in case you want to ask for the name, forgive me. I just watched the movie. So in the movie, the wife was always suspecting the husband of infidelity even when… Continue reading WHAT TO DO WHEN YOUR SPOUSE IS SUSPECTING YOU

6 MATES YOU MUST MARRY!

One of the way your marriage will not add to the rate of divorce in our world today is for you to marry your mate and if you are married already, make your spouse your mate! You see that statement of ‘ Am I your mate?’ does not apply in marriage. You must marry your… Continue reading 6 MATES YOU MUST MARRY!

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner