SABABU ZA BEKI EVAN N’DICKA KUANGUKA UWANJANI

MICHEZO Beki wa klabu ya AS Roma, Evan Ndicka raia wa Ivory Coast alianguka uwanjani mnamo dakika ya 72 wakati wa mechi dhidi ya Udinese hali iliyopelekea mchezo huo kuahirishwa huku ubao ukisoma 1-1. Kwa bahati nzuri, Ndicka alikuwa kwenye fahamu na kujitambua, lakini alitolewa nje ya uwanja kwa tahadhari. Taarifa kutoka kwa Roma ilisema… Continue reading SABABU ZA BEKI EVAN N’DICKA KUANGUKA UWANJANI

HENNOCK INONGA TAYARI KASAJILIWA NA TIMU HII

MICHEZO Beki wa kati wa klabu ya Simba SC, Hennock Inonga atajiunga na klabu ya FAR Rabat ya Morocco mwishoni mwa msimu huu. Mchezaji husika na klabu ya Simba tayari wanafahamu kuhusu suala hilo.

STEPHANE AZIZ KI ASAINI MKATABA MPYA YANGA KWA SHARTI HILI

MICHEZO Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Stephane Aziz Ki amesaini mkataba wa miaka (2) kuendelea kuitumikia klabu ya Yanga. Kabla hajasaini mkataba mpya alitoa sharti kuwa, endapo atasalia katika klabu hiyo wamhakikishie kwamba watamleta striker wa maana katika dirisha kubwa. Uongozi wa Yanga umekubali sharti hilo na mchezaji amesaini miaka miwili.

UJUMBE WA MSEMAJI WA SIMBA AHMED ALLY HUU HAPA

NYOTA WETU … 🧠 𝗔𝗨 𝗠𝗜𝗠𝗜 𝗡𝗗𝗜𝗢 𝗦𝗜𝗘𝗟𝗘𝗪𝗜 ? Nimewasikia wachambuzi kadhaa wakisema Simba SC imebakiza points (4) imfikie kinara wa ligi Yanga SC.. Nilidhani labda ni kupitiwa. Baada ya kauli ya Ahmed Ally ndipo nikagundua sio kupitiwa, labda mimi pekee ndio nina msimamo tofauti wa ligi. 1. 👕 20 ⚽ +38 🅿️ 52 —… Continue reading UJUMBE WA MSEMAJI WA SIMBA AHMED ALLY HUU HAPA

UJUMBE WA MSEMAJI WA SIMBA AHMED ALLY HUU HAPA

NYOTA WETU … 🧠 𝗔𝗨 𝗠𝗜𝗠𝗜 𝗡𝗗𝗜𝗢 𝗦𝗜𝗘𝗟𝗘𝗪𝗜 ? Nimewasikia wachambuzi kadhaa wakisema Simba SC imebakiza points (4) imfikie kinara wa ligi Yanga SC.. Nilidhani labda ni kupitiwa. Baada ya kauli ya Ahmed Ally ndipo nikagundua sio kupitiwa, labda mimi pekee ndio nina msimamo tofauti wa ligi. 1. 👕 20 ⚽ +38 🅿️ 52 —… Continue reading UJUMBE WA MSEMAJI WA SIMBA AHMED ALLY HUU HAPA

WARIOBA ATAKA MAMBO MANNE KWENYE KATIBA MPYA

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

MFAHAMU MWAMUZI WA MECHI YA MAMELODI SUNDOWNS NA YANGA

NYOTA WETU Mchezo wa marudiano wa hatua ya Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Barani Afrika baina ya Mamelodi Sundowns na Young Africans utakaochezwa kesho Ijumaa (Aprili 05), Pretoria, Afrika Kusini utachezeshwa na Beida Dahane kutoka Mauritania mwenye historia nzuri na Young Africans. Refa huyo mwenye umri wa miaka 32 ndiye alichezesha mechi ya Mkondo wa… Continue reading MFAHAMU MWAMUZI WA MECHI YA MAMELODI SUNDOWNS NA YANGA

ROBERT LEWANDOWSKI AKATAA OFA HII YA SAUDIA ARABIA

MICHEZO Mshambuliaji wa FC Barcelona, Robert Lewandowski, amekataa mkataba mnono nchini Saudi Arabia ili kubakia klabuni hapo, kwa mujibu wa ripoti kutoka Hispania. Mchezaji huyo wa Kimataifa wa Poland alijiunga na Barca katika dirisha la usajili la kiangazi la 2022 na akaiwezesha klabu hiyo kutwaa taji lao la kwanza la La Liga katika kipindi cha… Continue reading ROBERT LEWANDOWSKI AKATAA OFA HII YA SAUDIA ARABIA

SIMBA YAKUBALI KICHAPO MBELE YA AL AHLY

MICHEZO Wekundu wa Msimbazi Simba SC imekubali kipigo cha 1-0 nyumbani dhidi ya Al Ahly ya Misri kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza ligi ya mabingwa Afrika Kipigo hicho kimetengeneza mlima wa kupanda kwa Simba SC kuelekea mchezo wa marudiano utakaopigwa Cairo Mechi tano zilizopita kati ya Al Ahly na Simba. Ligi ya Soka ya… Continue reading SIMBA YAKUBALI KICHAPO MBELE YA AL AHLY

SHABIKI WA SIMBA AFARIKI KWENYE AJALI AKIWAWAHI AL AHLY

HABARI KUU Shabiki wa simba sc tanzania ambaye jina lake halijawekwa wazi bado amepoteza maisha alipokuwa njiani na mashabiki wenzake baada ya kupata ajali. Shabiki huyo wa Simba SC kutoka Tawi la Kiwira alikuwa safarini na mashabiki wenzake wamepata ajali hiyo ya gari eneno ya Vigwaza Pwani. Tawi hilo lilikuwa linakuja Jijini Dar es Salaam… Continue reading SHABIKI WA SIMBA AFARIKI KWENYE AJALI AKIWAWAHI AL AHLY

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner