MANCHESTER UNITED YAWEKA REKODI YA KUWA KIKOSI GHALI ZAIDI DUNIANI

MICHEZO Ripoti ya UEFA imesema kikosi cha Manchester United cha mwaka jana ndio cha gharama zaidi kuwahi kuundwa katika soka. Taarifa ya taswira ya fedha na uwekezaji ya vilabu vya Ulaya imesema wachezaji wa Manchester United mwishoni mwa mwaka wa fedha 2023 waligharimu paundi bilioni 1.21 ,kwa kuchanganya na fedha za ada ya uamisho. Mwaka… Continue reading MANCHESTER UNITED YAWEKA REKODI YA KUWA KIKOSI GHALI ZAIDI DUNIANI

MAURIZIO SARRI AJUTIA HILIDiscoverCars.com

MICHEZO Kocha wa zamani wa Chelsea MAURIZIO SARRI amesema:- “Ndani ya Chelsea nilipata tabu kuingia kwenye mfumo wa klabu,klabu ambayo haikuwa na Mkurugenzi wa michezo, kwenye klabu ambayo kocha kudumu miaka miwili ilikuwa ngumu. Lakini kwa miezi michache ya mwishoni, nilifurahia kuwa pale na nilifanya makosa kutaka kuondoka . Sio kuondoka kwa Chelsea tu ingawa… Continue reading MAURIZIO SARRI AJUTIA HILIDiscoverCars.com

EDEN HAZARD ANA AKILI SANA DiscoverCars.com

MASTORI Mwaka 2020 wakati Loic Remmy alipomzungumzia Eden Hazard; “Nilimjua Eden Hazard hata kabla sijajiunga na Chelsea. Nilikuwa nacheza dhidi yake wakati huo nilikuwa mchezaji wa Marseille na Nice yeye akiwa mchezaji wa Lille. “Nilipofika Chelsea na kushiriki mazoezi kwa mara ya kwanza, Eden alifika akiwa hajafunga kamba za viatu na alinikaribisha. Nikamuuliza,utafanya mazoezi ukiwa… Continue reading EDEN HAZARD ANA AKILI SANA DiscoverCars.com

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner