Warri, Port Harcourt, Kaduna refineries will begin operations by December – Senator Ipinsagba

The Downstream Committee of the Nigerian Senate has stated that the three government-owned refineries in the country will begin full operations before January 2025. According to the Vice Chairman of the Committee, Senator Jide Ipinsagba, who is representing Ondo North Senatorial District, the retrofitting of the Kaduna, Warri, and Port Harcourt refineries was already at… Continue reading Warri, Port Harcourt, Kaduna refineries will begin operations by December – Senator Ipinsagba

RUTO akanusha kuhusika kwenye vifo vya Waandamanaji

Rais wa Kenya William Ruto anadai kuwa hana damu mikononi mwake kufuatia mauaji ya watu yaliyoshuhudiwa wakati wa maandamano hivi karibuni. Ruto akizungumza wakati wa kikao na wanahabari Ikulu Jumapili, Juni 30, amesema maafisa wa polisi walitekeleza majukumu yao kwa njia huru wakati wa maandamano hayo. Tume ya Haki za Kibinadamu ya Kenya (KHRC) katika… Continue reading RUTO akanusha kuhusika kwenye vifo vya Waandamanaji

TYLA awabwaga tena Wanigeria tuzo za BET

Mkali wa wimbo wa Water kutoka nchini Afrika KusiniTyla Laura Seethal maarufu kwa jina la Tyla, amenyakua tuzo yake ya kwanza ya BET katika hafla iliyofanyika usiku wa kuamkia leo nchini Marekani. Tyla amenyakua tuzo hiyo katika kipengele cha Best International Act na Best New Artist akiwapiku Tiakola, Asake, Cleo So, Focalistic, Karol Conká, Ayra… Continue reading TYLA awabwaga tena Wanigeria tuzo za BET

How to Know if You Are Carrying Twins in Cryptic Pregnancy

Cryptic pregnancies can be mysterious and challenging to detect, but there are subtle signs and symptoms that might indicate you are carrying twins. While medical confirmation is ideal, paying attention to your body and these indicators can provide important clues. Conclusion While these signs can suggest the possibility of twins, they are not definitive without… Continue reading How to Know if You Are Carrying Twins in Cryptic Pregnancy

Sababu Zinazochangia Wajawazito Kupata Fangasi Ukeni

Fangasi ukeni kwa mjamzito ni mojawapo ya maambukizi kwenye uke yanawatokea sana wajawazito kutokana na aidha mabadiliko ya homoni za uzazi au mabadiliko ya mazingira ukeni (changes in vaginal pH). Maambukizi ya fangasi ukeni kwa mjamzito hujulikana kwa kitaalamu kama vaginal candidiasis during pregnancy. Kisababishi Cha Fangasi Ukeni Kwa Mjamzito:Fangasi ukeni kwa mjamzito husababishwa na… Continue reading Sababu Zinazochangia Wajawazito Kupata Fangasi Ukeni

Uke Wenye Afya bora hauna Harufu wala Fangasi: Mambo 7 ya Kuzingatia kutunza Uke

🍂Utunzaji wa uke ni jambo la muhimu sana kwa mwanamke. Uke wenye afya bora ni fahari ya mwanamke na furaha kwa mpenzi wake ( mwanaume). Uke wenye afya bora utakufanya mwanamke ujithamini na kujiamini. Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya kwenye uke ni kiashiria kwamba unaumwa na hauko sawa kiafya. 🍂Ni kawaida kwa mwanamke kupata… Continue reading Uke Wenye Afya bora hauna Harufu wala Fangasi: Mambo 7 ya Kuzingatia kutunza Uke

Sababu za Ukosefu wa Nguvu za kiume na Tiba yake

Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamilifu au kushindwa kusimamisha uume vizuri. Shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, hisia na mishipa ya damu, misuli ya uume. Tafiti zinaonesha kuwa katika wanaume watano (5) basi mmoja kati yao ana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Upungufu wa… Continue reading Sababu za Ukosefu wa Nguvu za kiume na Tiba yake

WHO IS A SEXY WIFE?

Many men have no idea what women find sexy, and the most common question that men write in and ask me is how to make their wives find them sexually appealing again. Let’s start with looks. As my male guest poster said about men’s preferences, there is no universal physical type that women find sexy,… Continue reading WHO IS A SEXY WIFE?

Je Mgonjwa wa Kisukari anaruhusiwa Kunywa Pombe?

Matumizi ya Pombe na Kisukari Matumizi ya pombe yana athari nyingi kwa wagonjwa wa kisukari. Ni muhimu kushauriana na daktari kabla ya kunywa pombe kutokana na sababu zifuatazo: 🌟 Hypoglycemia (sukari ya damu chini): Pombe inaweza kushusha viwango vya sukari ya damu kwa hatari, hasa kwa wale wanaotumia insulini au dawa fulani za kisukari.🍀 Upungufu… Continue reading Je Mgonjwa wa Kisukari anaruhusiwa Kunywa Pombe?

Sababu Kifo cha Yusuf Manji

Mfanyabiashara ambaye pia aliwahi kuwa Mfadhili na Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji amefariki Dunia wakati akiendelea na matibabu Nchini Marekani Taarifa iliyotolewa imeeleza kwa mujibu wa mtoto wa Manji, Mehbub Manji ni kuwa msiba huo umetokea Jumamosi Juni 29, 2024 katika Jimbo la Florida Manji alikuwa ni Mkurugenzi Mtendaji wa Quality Group Limited… Continue reading Sababu Kifo cha Yusuf Manji

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner