ย  ย 
ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย 

Mchungaji Peter Msigwa ajivua Gwanda sasa ni Kijani na Njano

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Iringa kupitia CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kutambulishwa mbele ya Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Msigwa amehamia CCM ikiwa ni wiki chache tangu akose nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa katika Uchaguzi uliompa ushindi Joseph Mbilinyi (Sugu) Aidha, hatua hiyo inafuatia madai… Continue reading Mchungaji Peter Msigwa ajivua Gwanda sasa ni Kijani na Njano

Terrorists behind Borno bomb attack will pay heavily โ€“ Tinubu

President Bola Tinubu has vowed that the terrorists behind the bomb attack in Borno State will pay heavily. Tinubu issued the warning while condemning the bomb attacks which resulted in the loss of lives and the maiming of other citizens in Gwoza Local Government Area of Borno State. He described the attack as a desperate… Continue reading Terrorists behind Borno bomb attack will pay heavily โ€“ Tinubu

4 CONTROLS YOU NEED FOR A SUCCESSFUL RELATIONSHIP/MARRIAGE.

1) Control over your TONGUE The Peace in many Relationships and Marriages were killed by a loose tongue. Words can Kill When your tongue is as sharp as aboki knife, as bitter as bitter kola, and as lethal as snake venom, your Relationship/Marriage will look like a victim of jungle justice. Let your words be… Continue reading 4 CONTROLS YOU NEED FOR A SUCCESSFUL RELATIONSHIP/MARRIAGE.

Ugonjwa wa Saratani ya Tezi Dume

MAANA YA TEZI DUME: Tezi dume ni moja ya tezi la uzazi la kiume ambalo kila mwanaume analo. Tezi dume sio ugonjwa bali ni kiungo kama viungo vingine mwilini. TEZI DUME INAPATIKANA WAPI KATIKA MWILI? Tezi dume inapatikana chini ya kibofu cha mkojo na inazunguka njia ya mkojo toka kwenye kibofu kwenda kwenye uume. KAZI… Continue reading Ugonjwa wa Saratani ya Tezi Dume

Ugonjwa wa Bawasiri na Chanzo Chake

Ugonjwa wa bawasiri na chanzo chake: Bawasiri, au haemorrhoids kama inavyojulikana kwa lugha ya kiingereza, ni hali inayotokea pale mishipa ya damu inayozunguka anus inapojaa au kuvimba. Hali hii husababisha uvimbe, maumivu, na kuvuja damu wakati wa kujisaidia.Kuna sababu kadhaa za kusababisha bawasiri, ikiwa ni pamoja na: Dalili za ugonjwa wa bawasiri: Dalili za ugonjwa… Continue reading Ugonjwa wa Bawasiri na Chanzo Chake

Aina za UTI SUGU kwa Mwanamke na Mwanaume

U.T.I ni nini? U.T.I(Urinary Tract Infection) kwa wanawake ni maambukizi ya mfumo wa mkojo kwa wanawake ambao huhusisha figo (kidney), kibofu cha mkojo (urinary bladder), mrija wa mkojo kutoka kwenye kibofu cha mkojo (urethra) pamoja na mrija unao unganisha figo na kibofu cha mkojo (ureter). Maambukizi haya kwa kiasi kikubwa husababishwa na bakteria jamii ya… Continue reading Aina za UTI SUGU kwa Mwanamke na Mwanaume

Sababu Zinazochangia Kukosa Hamu ya Tendo la Ndoa

Hamu ya tendo la ndoa, inayojulikana kama libido, ni hali ya kihisia inayowafanya watu wawe na tamaa au hamu ya kushiriki katika tendo la ndoa. Hamu ya tendo la ndoa inaweza kutofautiana sana kati ya watu na inaweza kubadilika kulingana na mazingira, hali ya kiafya, umri, na mambo mengine. Leo tutazungumzia baadhi ya sababu zinazoweza… Continue reading Sababu Zinazochangia Kukosa Hamu ya Tendo la Ndoa

AINA ZA UTE UKENI NA MAANA YAKE

Ute ukeni hutofautiana kwa rangi, muonekano, na harufu kulingana na mzunguko wa hedhi, afya ya kijinsia, na mabadiliko ya homoni.Aina za ute ukeni zinaweza kutoa viashiria kuhusu afya ya kijinsia na mabadiliko ya mwili. Zifuatazo ni aina za ute ukeni na maana zake: Ute huu ni wa kawaida na hutokea kila siku. Ute huu kwa… Continue reading AINA ZA UTE UKENI NA MAANA YAKE

Kifafa Cha Mimba,Visababishi,Dalili,Matibabu na Madhara Yake

KIFAFA CHA MIMBA NI NINI? Kifafa cha mimba ni ugonjwa unaowapata wanawake wajawazito, hasa wenye mimba za kwanza. Kwa walio wengi, ugonjwa huu hutokana na kupanda kwa msukumo wa damu (High blood pressure). Ugonjwa huu utokeapo, mgonjwa hupatwa na degedege (convulsion).Ugonjwa huu unajulikana kwa kitaalamu kama Eclampsia. Kifafa cha uzazi au wengine wanakiita kifafa cha mimba ni miongoni… Continue reading Kifafa Cha Mimba,Visababishi,Dalili,Matibabu na Madhara Yake

JINSI YA KUEPUKA MADHARA YA FIGO KUHARIBIWA NA UGONJWA WA KISUKARI

Kulingana na data za Shirika la Afya Duniani na Chama cha Moyo cha Marekani imeonekana kwamba watu wenye kisukari huwa na hatari kubwa ya kuwa na magonjwa ya figo ya muda mrefu na katika mwaka wa 2019 zaidi ya watu milioni 2 walikufa kutokana na magonjwa ya figo yaliyosababishwa na kisukari. Hali hii inaonyesha umuhimu… Continue reading JINSI YA KUEPUKA MADHARA YA FIGO KUHARIBIWA NA UGONJWA WA KISUKARI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

ย  ย  ย  ย  ย banner ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย