Simi composes sincere heartfelt messages to commemorates her daughter Deja on the occasion of her 4th birthday

Simi composes sincere heartfelt messages to commemorates her daughter Deja on the occasion of her 4th birthday Simi, the talented songstress from Nigeria, also known as Simisola Kosoko, commemorated her daughter, Deja, on her special day today, May 30th, with touching messages filled with love. In a display of affection, the graceful mother shared on… Continue reading Simi composes sincere heartfelt messages to commemorates her daughter Deja on the occasion of her 4th birthday

TECHNIQUES OF CONFLICT RESOLUTION IN MARRIAGE

MFAHAMU THOMAS FULLER ALIYEWAITA WASOMI WAPUMBAVU

Anafahamika kama Thomas Fuller, Mtaalamu wa Hisabati wa Kiafrika anayejulikana pia kama “Negro Tom” na “Virginia Calculator”, alikuwa Mwafrika mtumwa aliyezaliwa Benin mwaka 1710 akijipatia umaarufu mkubwa kwa uwezo wake wa kukukotoa hesabu, mpaka akitwa jina jingine pia la kikokotoo cha akili. Fuller alisafirishwa hadi Amerika kama mtumwa mwaka wa 1724. Kiukweli Fuller alikuwa na… Continue reading MFAHAMU THOMAS FULLER ALIYEWAITA WASOMI WAPUMBAVU

WHO IS THOMAS FULLER “Negro Tom” and the “Virginia Calculator “

Thomas Fuller, also known as “Negro Tom” and the “Virginia Calculator,” was an enslaved African renowned for his extraordinary mathematical abilities. Born in 1710 in what is now Benin 🇧🇯, Fuller was brought to America as a slave in 1724. He became famous for his remarkable powers of mental calculation, and later in life, he… Continue reading WHO IS THOMAS FULLER “Negro Tom” and the “Virginia Calculator “

MFAHAMU MSHAMBULIAJI MPYA WA AZAM JHONIER BLANCO

Klabu ya Azam FC imethibitisha kukamilisha usajili wa Mshambuliaji kutoka nchini Colombia Jhonier Blanco, ambaye rasmi ataanza kuonekana kikosini msimu ujao wa Ligi Kuu, Kombe la Shirikisho Tanzania Bara na Michuano ya Kimataifa. Azam FC imeanza mapema usajili wa wachgezaji wake Kimataifa, ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao kuelekea msimu ujao 2024/25, ambao unatabiriwa kuwa… Continue reading MFAHAMU MSHAMBULIAJI MPYA WA AZAM JHONIER BLANCO

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Nyasa ambaye pia anagombea kutetea nafasi hiyo katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho, Mchungaji Peter Msigwa amewasilisha malalamiko dhidi ya Mjumbe wa Sekretarieti ya chama hicho John Mrema kwa kile alichokitaja kuwa mgongano wa masilahi katika uchaguzi wa kanda wa chama.

Katika barua aliyomwandikia Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika, Msigwa ameeleza kuwa mwenendo wa John Mrema unazua maswali kwani ameonesha dhahiri kuegemea upande wa mgombea mwenza wa uenyekiti wa kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na kuonesha dalili zote za rushwa kinyume na “Kanuni ya 1 (vi) ya Mwongozo wa Chama dhidi ya Rushwa Kwenye… Continue reading Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Nyasa ambaye pia anagombea kutetea nafasi hiyo katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho, Mchungaji Peter Msigwa amewasilisha malalamiko dhidi ya Mjumbe wa Sekretarieti ya chama hicho John Mrema kwa kile alichokitaja kuwa mgongano wa masilahi katika uchaguzi wa kanda wa chama.

MAGAZETI YA LEO 30 MEI 2024

Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

Why did Chelsea decided to appoint Enzo Maresca as Head Coach

London Chelsea is on the verge of appointing a new head coach – it will most likely be Enzo Maresca. It is expected that the Italian specialist will sign a contract for at least five years. Leicester’s compensation for his transfer will be around £8-10 million. Maresca plans to take most of his coaching staff… Continue reading Why did Chelsea decided to appoint Enzo Maresca as Head Coach

MIKE TYSON AKIRI KWASASA YUKO VIZURI BAADA YA KUUGUA

Mwana-Masumbwi mkongwe Mike Tyson (58), ameripotiwa kuugua juzi akiwa kwenye Ndege akitokea Miami kuelekea jijini Los Angeles. Kwa mujibu wa msemaji wake, bingwa huyo wa zamani wa ndondi alianza kujisikia vibaya takribani dakika 30 kabla ya kutua. Mara tu baada ya kutua alipokelewa na timu ya wauguzi na kwa sasa hali yake inaendelea vizuri. Mwaka… Continue reading MIKE TYSON AKIRI KWASASA YUKO VIZURI BAADA YA KUUGUA

MAGAZETI YA LEO 29 MEI 2024

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner