ย  ย 
ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย 

ORODHA YA MABILIONEA VIJANA DUNIANI

NYOTA WETU Kwa mujibu wa mtandao wa Wealth, hawa ndio Mabilionea wenye umri mdogo zaidi duniani (pangusa kushoto kuona orodha kamili). Katika orodha hii, Bilionea mwenye umri mkubwa zaidi ni Ben Francis na Mark Mateschitz wakiwa na umri wa miaka 31, na mdogo zaidi akiwa ni Clemente Del Vecchio mwenye umri wa miaka 19. Tajiri… Continue reading ORODHA YA MABILIONEA VIJANA DUNIANI

Mwili wa Ebrahim Raisi wapatikana

BREAKING NEWS Mwili wa aliyekuwa Rais wa Iran, Ebrahim Raisi umepatikana pamoja na wa Waziri wa Mambo ya Nje Hossein Amir-Abdollahian na maofisa wengine waliofariki katika ajali ya Helikopta Mei 19, 2024. Nchi hiyo imeshatangaza kifo cha Ibrahim Raisi, aliyefariki usiku wa kuamkia leo katika ajali iliyotokea Kaskazini-Magharibi mwa nchi hiyo. Miili hiyo imepatikana kwenye… Continue reading Mwili wa Ebrahim Raisi wapatikana

Muhammad Mukhbar Rais mpya wa Iran

HABARI KUU Kiongozi wa ngazi ya juu nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amemteua Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran, Muhammad Mukhbar kuwa rais kufuatia kifo cha Ibrahim Raisi katika ajali ya Helikopta hapo jana Mei 19, 2024. Kwa mujibu wa katiba ya Iran, makamu wa kwanza wa rais atachukua wadhifa huo iwapo rais atafariki,… Continue reading Muhammad Mukhbar Rais mpya wa Iran

Mfahamu CHRISTIAN MALANGA aliyetaka kumpindua Rais Tshisekedi

HABARI KUU Serikali imesema jaribio la Mapinduzi lililozuia mwishoni mwa wiki iliyopita liliongozwa na Mwanasiasa Christian Malanga mwenye uraia wa DR-Congo (DRC) lakini makazi yake yapo nchini Marekani akiwa na Kundi la Wanajeshi waasi. Msemaji wa Jeshi la DRC amesema Watu 50 akiwemo mtoto wa Malanga na raia wa Marekani wamekamatwa huku Malanga akiuawa katika… Continue reading Mfahamu CHRISTIAN MALANGA aliyetaka kumpindua Rais Tshisekedi

Mbwana Samatta aisaidia PAOK kubeba Ubingwa

MICHEZO Nahodha wa kikosi cha Timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) Mbwana Samatta ameisaidia klabu yake ya PAOK ya nchini Ugiriki kushinda kikombe cha ligi soka nchini humo yaani Super League. PAOK wamekuwa mabingwa wa ligi hiyo baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Aris walipokuwa ugenini, huku Samatta akiingia katika pambano… Continue reading Mbwana Samatta aisaidia PAOK kubeba Ubingwa

Talaka ilivyotaka kuua kipaji cha nyota Michael Antonio

NYOTA WETU Nyota wa Ligi Kuu England, Michael Antonio amefunguka na kufichua kwamba alipatwa na tatizo la akili, ambalo lilimfanya atamani kuumia ili tu asicheze mpira. Mshambuliaji huyo wa West Ham United aliandamwa na tatizo hilo la akili lililosababishwa na mambo ya ndani na nje ya uwanja kitu kilichomfanya achukue soka..Antonio, 34, anafichua, wakati anajitafuta… Continue reading Talaka ilivyotaka kuua kipaji cha nyota Michael Antonio

Rekodi ya Pep Guardiola dhidi ya Alex Ferguson

MICHEZO Baada ya kuiongoza Manchester City kushinda ubingwa wa Ligi Kuu England kwa mara ya nne mfululizo, Pep Guardiola ameshinda jumla ya mataji 17 tangu atue klabuni hapo. Man City inakuwa timu ya kwanza katika historia ya Ligi kuu England kutwaa ubingwa mara nne mfululizo rekodi ambayo hata kocha wa zamani wa Manchester United, mkali… Continue reading Rekodi ya Pep Guardiola dhidi ya Alex Ferguson

50 Cent bado aendelea kumkomalia Sean Combs “P Diddy “

BURUDANI Rapa 50 Cent, ameendelea kumkejeli Sean Combs maarufu kama Diddy, baada ya Ku-Comment kwenye Video iliyochapishwa na rapa huyo akiomba msamaha na kusema msamaha aliouomba hauto saidia kitu, na kuhoji nani anayemshauri hivi sasa. Hii inakuja kufuatia Video ya Diddy iliyovujishwa na kituo cha runinga cha CNN May 17, ambayo ilimuonesha rapa huyo akimpiga… Continue reading 50 Cent bado aendelea kumkomalia Sean Combs “P Diddy “

WHAT MANY PEOPLE DON’T UNDERSTAND ABOUT LOVE

LOVE TIPS โค 1. There will be times I will be so mad at you and cold towards you. It’s not that I hate you. I am just disappointed by what you did, my love hasn’t gone any where 2. There will be times I will not spend as much time with you as you… Continue reading WHAT MANY PEOPLE DON’T UNDERSTAND ABOUT LOVE

HOW TO WRITE VALUE PROPOSITION

BUSINESS What Is a Value Proposition? A value proposition in marketing is a concise statement of the benefits that a company is delivering to customers who buy its products or services. It serves as a declaration of intent, both inside the company and in the marketplace. Understanding Value Propositions. A value proposition stands as a… Continue reading HOW TO WRITE VALUE PROPOSITION

Please disable your adblocker or whitelist this site!

ย  ย  ย  ย  ย banner ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย