CASTER SEMENYA KURUDI MASHINDANONI AKIVUKA KIZUIZI HIKI

MICHEZO Mawakili wa bingwa wa Olimpiki mara mbili, Caster Semenya wanasema mteja wao “anajisikia utulivu na kujiamini” kabla ya kusikilizwa kwa kesi inayohusu kama atatakiwa kupunguza viwango vyake vya homoni za kiume (testosterone) kabla ya kushiriki mashindano ya riadha kama mwanamke au la. Mahakama ya Ulaya ya Haki za Binadamu iliyoko Strasbourg, Ufaransa, inasikiliza kesi… Continue reading CASTER SEMENYA KURUDI MASHINDANONI AKIVUKA KIZUIZI HIKI

AJALI ILIVYOUWA WATU 7 MOROGORO

HABARI KUU Watu saba wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha gari aina ya Toyota Noah, yenye namba za usajili T101 DKB kugongana uso kwa uso na Lori aina ya Man lenye namba za usajili RL 1801 katika barabara kuu ya Dodoma – Morogoro. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro,… Continue reading AJALI ILIVYOUWA WATU 7 MOROGORO

WHY MEN NEED LOVE AND HELP IN RELATIONSHIPS

LOVE TIPS ❤ MEN NEED LOVE AND HELP TOO…✍️ 1. MEN ALSO NEED SOMEONE TO TALK TOIt is often expected by women that the man should be there to listen to her. But men also need a shoulder to lean on. Lady, pause for awhile expecting your man to be there for you, it’s not… Continue reading WHY MEN NEED LOVE AND HELP IN RELATIONSHIPS

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner