Kwanini Mkuu wa Mkoa anayedaiwa Kulawiti Ameachiwa Kwa Dhamana?
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Nawanda, amefikishwa katika mahakama ya hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza na kusomewa shitaka moja la kumwingilia kinyume na maumbile Tumsiime Ngemela (21) katika…