Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Nyasa ambaye pia anagombea kutetea nafasi hiyo katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho, Mchungaji Peter Msigwa amewasilisha malalamiko dhidi ya Mjumbe wa Sekretarieti ya chama hicho John Mrema kwa kile alichokitaja kuwa mgongano wa masilahi katika uchaguzi wa kanda wa chama.

Katika barua aliyomwandikia Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika, Msigwa ameeleza kuwa mwenendo wa John Mrema unazua maswali kwani ameonesha dhahiri kuegemea upande wa mgombea mwenza wa uenyekiti wa kanda…

Continue ReadingMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Nyasa ambaye pia anagombea kutetea nafasi hiyo katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho, Mchungaji Peter Msigwa amewasilisha malalamiko dhidi ya Mjumbe wa Sekretarieti ya chama hicho John Mrema kwa kile alichokitaja kuwa mgongano wa masilahi katika uchaguzi wa kanda wa chama.

Nchini Korea Kaskazini kama “Birthday” yako ni tarehe 8 Julai au 17 Desemba basi huna bahati, kwani hairuhisiwi kusherehekea siku yako ya kuzaliwa.

Sababu kubwa ni kwamba tarehe hizo Baba wa Taifa hilo "Kim Il-Sung" na "Kim Jong-Il" walifariki, hivyo ni onyo kuonesha dalili yoyote ya furaha kama ni siku yako ya kuzaliwa.…

Continue ReadingNchini Korea Kaskazini kama “Birthday” yako ni tarehe 8 Julai au 17 Desemba basi huna bahati, kwani hairuhisiwi kusherehekea siku yako ya kuzaliwa.

Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda Mama Tunu Pinda, ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Shirikisho la amani duniani Kanda ya Tanzania (Universal Peace federation- UPF) kwa miaka miwili baada ya kukabidhiwa na Balozi wa shirikisho la amani duniani bara la Afrika UPF Adama Doumbia.

Lengo la Uenyekiti huo ni kuhamasisha amani miongoni mwa watanzania bila kubagua dini, Madhehebu, mila, Viongozi wa Chama na serikali, Wabunge na wananchi kuanzia ngazi ya mtu mmoja, familia hadi…

Continue ReadingMke wa Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda Mama Tunu Pinda, ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Shirikisho la amani duniani Kanda ya Tanzania (Universal Peace federation- UPF) kwa miaka miwili baada ya kukabidhiwa na Balozi wa shirikisho la amani duniani bara la Afrika UPF Adama Doumbia.