MAREKANI NA CHINA ZAINGIA TENA KWENYE MGOGORO

Habari Kuu Marekani imetangaza vikwazo kwa makampuni 25 na watu binafsi wanaodaiwa kuhusika katika utengenezaji kemikali zinazotumika fentanly. Fentanly, afyuni (opioidi) yenye nguvu inayotumiwa kama dawa ya kutuliza maumivu makali sana ,ina jukumu kubwa kwenye mgogoro unaoendelea wa dawa za kulevya nchini Marekani. Mwanasheria Mkuu Merrick Garland amesema msururu wa usambazaji wa dawa “Mara nyingi… Continue reading MAREKANI NA CHINA ZAINGIA TENA KWENYE MGOGORO

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner