TANZANIA YAICHAPA ZAMBIA 1-0

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

Excitement fills the air as news of Davido and Chioma’s traditional wedding spreads like wildfire.

Social media platforms are flooded with congratulatory messages as fans eagerly await the rumored date and venue. After showcasing their impeccable style and elegance at a wedding celebration in the United States, Davido and Chioma have captured the hearts of many. And now, the anticipation for their traditional wedding has reached new heights. Back in… Continue reading Excitement fills the air as news of Davido and Chioma’s traditional wedding spreads like wildfire.

MFAHAMU SAULOS KLAUS CHILIMA ALIYEFARIKI KWA AJALI YA HELIKOPTA

Zimepita wiki mbili tangu aliyekuwa Rais wa Iran “Ibrahim Raisi” afariki kwa ajali ya ndege Uzi, Eastern Azerbaijan, Iran. Hapo jana tukio kama la Ibrahim Raisi limejirudia barani Afrika, kila aliyesikia habari ya kupotea kwa ndege ya kijeshi iliyombeba Makamu wa Rais wa Malawi Saulos Chilima nafsi yake ilijawa na simanzi kwa sababu ni mara… Continue reading MFAHAMU SAULOS KLAUS CHILIMA ALIYEFARIKI KWA AJALI YA HELIKOPTA

4 CONTROLS YOU NEED FOR A SUCCESSFUL RELATIONSHIP/MARRIAGE.

1) Control over your TONGUE The Peace in many Relationships and Marriages were killed by a loose tongue. Words can Kill When your tongue is as sharp as aboki knife, as bitter as bitter kola, and as lethal as snake venom, your Relationship/Marriage will look like a victim of jungle justice. Bridle your tongue, let… Continue reading 4 CONTROLS YOU NEED FOR A SUCCESSFUL RELATIONSHIP/MARRIAGE.

SAMIA ATENGUA UTEUZI WA MKUU WA MKOA ANAYETUHUMIWA KULAWITI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa mkuu wa mkoa wa Simiyu Dkt. Yahya Nawanda. Kufuatia hatua hiyo, amemteua Kenan Kihongosi kuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu. Kabla ya uteuzi huo Kihongosi alikuwa mkuu wa wilaya ya Momba mkoani Songwe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,… Continue reading SAMIA ATENGUA UTEUZI WA MKUU WA MKOA ANAYETUHUMIWA KULAWITI

JE KUDONDOKA KWA MATITI YA MWANAMKE KUNASABABISHWA NA KUSHIKWASHIKWA NA MWANAUME?

Kuanguka baada ya kushikwa na wanaume. Kumekuwepo na dhana tofauti tofauti kuhusiana na kudondoka Kwa matiti ya mwanamke ambazo hazina ukweli ndani yake;Kisayansi kudondoka kwa matiti kunaweza kuelezewa kama ifuatavyo. Ukuaji wa matiti ya mwanamke huongozwa na mfumo wa taarifa za urithi (Genes) pamoja na mfumo wa vichocheo vya mwili (Homoni). Hakuna mfumo mmoja wa… Continue reading JE KUDONDOKA KWA MATITI YA MWANAMKE KUNASABABISHWA NA KUSHIKWASHIKWA NA MWANAUME?

MAMBO YA KUFANYA KUZUIA MSHITUKO WA MOYO

Ikiwa Zaidi ya watu milioni 17.5 Duniani hufariki kwa sababu ya mshituko wa Moyo, Habari njema ni kwamba zaidi ya 80% ya mshituko wa moyo huweza kuzuilika. Mambo ya kufanya kuzuia mshituko wa moyo. 1.Kupata usingizi wa kutoshaKituo cha kudhibiti na kuzuia magonjwa cha Marekani (CDC) kinasema kuwa na usingizi usiotosha nyakati za usiku kuna… Continue reading MAMBO YA KUFANYA KUZUIA MSHITUKO WA MOYO

FAHAMU SABABU KWANINI WATOTO HUWA WANALIA USIKU

Watoto huelezea hisia zao tofauti na watu wazima ambao mojawapo ni kulia, watoto kulia usiku ni hali ya kawaida ambayo inaweza kusababishwa na mambo mbalimbali. Kujua sababu hizi na kuchukua hatua sahihi kunaweza kusaidia kumtuliza mtoto na kuhakikisha usiku mzuri wa kulala. Sababu hizo ni:- 1️⃣Njaa: Watoto wadogo, hasa wachanga, wanaweza kulia usiku kwa sababu… Continue reading FAHAMU SABABU KWANINI WATOTO HUWA WANALIA USIKU

HABITS OF BABY HUSBAND

HATUA ZA KUFUATA KUHAKIKISHA MAMA ANAJIFUNGUA SALAMA

Kupata ujauzito ni jambo la kusisimua na lenye kuleta furaha kwenye familia baina ya wapendanao. Na Ili kuhakikisha afya njema kwa mama na mtoto, ni muhimu kuchukua hatua sahihi mara tu baada ya kugundua kuwa mama ana ujauzito. Zifuatazo ni hatua muhimu za kuchukua baada ya mama kupata ujauzito; 1️⃣. Panga Ziara ya kumuona Daktari:… Continue reading HATUA ZA KUFUATA KUHAKIKISHA MAMA ANAJIFUNGUA SALAMA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner