5 THINGS MORE VALUABLE THAN A WOMAN’S BODY

If the major Reason you are marrying a lady is because she has a curved breast and bombom then You are not in LOVE.No matter what you think, if all you see is her physical assets then You are LOST in LUST. The reason is this those things doesn’t last once she give birth and… Continue reading 5 THINGS MORE VALUABLE THAN A WOMAN’S BODY

Why Men Leave Women After Sex?

AFTER SEX WHAT NEXT. It’s possible for any man to ask for sex in a relationship, but is left for you as a lady to know that sex, can’t keep him..(Sex isn’t enough) There are two major factors ladies complain about sex in a relationship:(1) After giving him my body he left me..(2)He left because… Continue reading Why Men Leave Women After Sex?

How To Start A Business Without Capital.

Many African youth dream of starting a business without capital money, I thought about you today. Enjoy my thoughts below Starting a business without money is possible, but it requires creativity and dedication. Here are some tips to get you started:

MFAHAMU MKE WA RAIS WA AFRIKA KUSINI CYRIL RAMAPHOSA

Jana, Rais Cyril Ramaphosa aliapishwa kuendelea kuongoza Taifa la Afrika Kusini kwa kipindi kingine cha miaka mitano huku mwenza wake, Tshepo Motsepe akiwa mwenye furaha kubwa katika sherehe zilizoshuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Tshepo Motsepe ni nani? Mwanamke huyu aliyezaliwa Juni 17, 1953 ni tabibu (physician) na mfanyabiashara. Yeye ni dada mkubwa wa Bridgette… Continue reading MFAHAMU MKE WA RAIS WA AFRIKA KUSINI CYRIL RAMAPHOSA

WANAUME WENYE MALENGO YA KUOA WANA UMRI HUU NA WANA SIFA ZIFUATAZO

MAPENZI DADA YANGU KABLA HUJAANZISHA MAHUSIANO NA MWANAUME HUU NDIO MGAWANYO WA WANAUME KULINGANA UMRI WAO Hapa ndipo wanawake wengi huachwa wakionekana wanashindwa kuwa kwenye malengo, hapa ndipo single father wengi hupatikana kwasababu vijana wengi huanza kuishi na wanawake kabisa kama wake au hujiachia kwenye mahusiano yao wakiamini hao ndio watakuwa wake zao. Maisha ya… Continue reading WANAUME WENYE MALENGO YA KUOA WANA UMRI HUU NA WANA SIFA ZIFUATAZO

TP OK JAZZ MEMBERS WHO ARE STILL ALIVE

TP OK JAZZ MEMBERS WHO ARE STILL ALIVE:

THE 14 NEEDS OF A WIFE

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amekutwa na hatia ya uharifu kwa mashtaka ya jinai 34

Hayo yamebainishwa na Jopo la wajumbe wa mahakama mjini New York,siku ya jana Alhamisi ambapo walisema kuwa Donald Trump anakabiliwa na mashtaka 34 ikiwemo ya kugushi hati zake za biashara. Jopo hilo lenye wajumbe 12 lilitathmini na kutafakari kwa siku mbili ushahidi wote liliopokea na kutoa uamuzi dhidi ya Trump mwenye umri wa miaka 77… Continue reading Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amekutwa na hatia ya uharifu kwa mashtaka ya jinai 34

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Nyasa ambaye pia anagombea kutetea nafasi hiyo katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho, Mchungaji Peter Msigwa amewasilisha malalamiko dhidi ya Mjumbe wa Sekretarieti ya chama hicho John Mrema kwa kile alichokitaja kuwa mgongano wa masilahi katika uchaguzi wa kanda wa chama.

Katika barua aliyomwandikia Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika, Msigwa ameeleza kuwa mwenendo wa John Mrema unazua maswali kwani ameonesha dhahiri kuegemea upande wa mgombea mwenza wa uenyekiti wa kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na kuonesha dalili zote za rushwa kinyume na “Kanuni ya 1 (vi) ya Mwongozo wa Chama dhidi ya Rushwa Kwenye… Continue reading Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Nyasa ambaye pia anagombea kutetea nafasi hiyo katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho, Mchungaji Peter Msigwa amewasilisha malalamiko dhidi ya Mjumbe wa Sekretarieti ya chama hicho John Mrema kwa kile alichokitaja kuwa mgongano wa masilahi katika uchaguzi wa kanda wa chama.

WHY A CHEATING WOMAN IS MORE DANGEROUS THAN POISON

A CHEATING WOMAN IS MORE DANGEROUS THAN POISON A man can cheat on his woman and still love her but a woman cannot cheat on her man and still love him. I say this because while men do not have sex with emotions, women can’t have sex without attaching emotions to it. This is the… Continue reading WHY A CHEATING WOMAN IS MORE DANGEROUS THAN POISON

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner