Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais Yoon Suk Yeol wa Jamhuri ya Korea wameshuhudia utiaji saini wa mkataba mmoja, hati za makubaliano (MOU) 2 na tamko la pamoja la kuanzisha Mkataba wa Ushirikiano wa Uchumi (EPA).

Mkataba huu utaiwezesha Tanzania kupokea mkopo kutoka Korea wa kiasi cha Dola za Kimarekani Bilioni 2.5 kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia (2024- 2028) kwa ajili ya miradi ya miundombinu ya maendeleo zinatolewa chini ya Mfuko waUshirikiano wa Maendeleo ya Uchumi wa Serikali ya Korea (EDCF). Ili kufungua milango zaidi ya ushirikiano wa kibiashara na… Continue reading Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais Yoon Suk Yeol wa Jamhuri ya Korea wameshuhudia utiaji saini wa mkataba mmoja, hati za makubaliano (MOU) 2 na tamko la pamoja la kuanzisha Mkataba wa Ushirikiano wa Uchumi (EPA).

Kiongozi wa upinzani Nchini Israel Yair Lapid ametoa wito kwa Waziri Mkuu wa taifa hilo Benjamin Netanyahu, kuzingatia mpango uliotangazwa na rais wa Marekani Joe Biden wa kusitisha mapigano Gaza.

Lapid ametoa pendekezo la kuiunga mkono serikali iwapo washirika wa serikali ya Netanyahu wataukataa mpango huo uliotangazwa na Biden. Familia za mateka wa Israel wanaoshikiliwa na Hamas wametaka pande zote mbili kuukubali mpango huo wa kumaliza vita vilivyodumu kwa miezi minane sasa na kutaka jamaa zao kurejea nyumbani, lakini Israel imeendelea kusema masharti ya kusitisha… Continue reading Kiongozi wa upinzani Nchini Israel Yair Lapid ametoa wito kwa Waziri Mkuu wa taifa hilo Benjamin Netanyahu, kuzingatia mpango uliotangazwa na rais wa Marekani Joe Biden wa kusitisha mapigano Gaza.

3 PROBLEMS FACING EVERY MARRIAGE…

1 MONEY: Every marriage needs money to thrive! Rent must be paid, bills must be settled, school fees are there, you must wear good clothes and eat balanced diet. As man, buckle your belt and sit tight. If you have no job/work as single man, even if you are 45 years old, you are not… Continue reading 3 PROBLEMS FACING EVERY MARRIAGE…

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesisitiza kuwa hakutakuwa na usitishaji vita ya kudumu huko Gaza hadi pale uwezo wa kijeshi na uongozi wa Hamas utakapoangamizwa na mateka wote waachiliwe.

Kauli yake inafuatia baada ya Rais wa Marekani Joe Biden kutangaza kuwa Israel imependekeza mpango wa hatua tatu kwa Hamas unaolenga kufikia usitishaji vita ya kudumu. Mwanasiasa mkuu wa Hamas ameliambia shirika la BBC kuwa “itakubali makubaliano haya” ikiwa Israel itafanya hivyo. Mazungumzo hayo yanakuja huku mapigano yakiendelea huko Rafah, kukiwa na ripoti za mashambulizi… Continue reading Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesisitiza kuwa hakutakuwa na usitishaji vita ya kudumu huko Gaza hadi pale uwezo wa kijeshi na uongozi wa Hamas utakapoangamizwa na mateka wote waachiliwe.

Hassan Mwakinyo amtwanga mpinzani wake Patrick Allotey usiku wa manane

Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo ametoa ufafanuzi kuhusu pambano lake dhidi ya Patrick Allotey kutoka nchini Ghana juzi usiku. Mwakinyo ameshindwa kucheza pambano hilo kutokana na kushindwa kukamilika kwa baadhi ya taratibu za pambano. Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram @hassanmwakinyojr ameanza kuandika kuwa… “ Guys naomba niombe radhi mashabiki wangu wote na niweke wazi… Continue reading Hassan Mwakinyo amtwanga mpinzani wake Patrick Allotey usiku wa manane

ARE YOU FIGHTING THE SYMPTOMS INSTEAD OF ADDRESSING THE ROOT PROBLEM IN YOUR RELATIONSHIP/MARRIAGE?

Many people in relationships and marriages are fighting symptoms and so they end up feeling frustrated when their relationship/marriage still suffers. The following are a few symptoms and how to address their root cause. You two are simply not finding each other sexually attractive because of negative opinions formed about each other. Perhaps you two… Continue reading ARE YOU FIGHTING THE SYMPTOMS INSTEAD OF ADDRESSING THE ROOT PROBLEM IN YOUR RELATIONSHIP/MARRIAGE?

7 AGREEMENTS YOU MUST DO BEFORE YOUR RELATIONSHIP CAN WORK

You need to agree on mode of communication and how to make most of the calls and chats each other. I suggest the call and chatting should be balanced. Empty pocket won’t buy Airtime and subscribe for data. If you are the only one who initiates all the calls, chats or visit, then your relationship… Continue reading 7 AGREEMENTS YOU MUST DO BEFORE YOUR RELATIONSHIP CAN WORK

8 WAYS TO PREPARE FOR MARRIAGE

I’ve observed during my counseling session with the married who have challenges in their marriage that many did not prepare for marriage but only wedding. This also applies to many singles I’ve counseled. 1.ACQUIRE KNOWLEDGE Knowledge acquisition is very paramount in preparing for marriage. Some are of the school of thought that experience is the… Continue reading 8 WAYS TO PREPARE FOR MARRIAGE

SEX is BEAUTIFUL and EXCITING when proper HYGIENE is observed

The only thing dirty that is allowed is when the two talk dirty to each other; that is if your spouse finds your dirty talk to be a turn on!

Singer, Terri officially parted ways with Wizkid’s record label, Starboy Entertainment. Terri expressed his sadness in a heartfelt message he shared on social media.

Famous Nigerian Musician Terry Daniel Aweke, also known as Terri, has left Wizkid Starboy Entertainment and is making headlines for his departure. However, Terri took to Twitter to express his disappointment and feeling of being ignored by the label. Terri confessed that he had insufficient skills in managing, planning, and forming a team for a… Continue reading Singer, Terri officially parted ways with Wizkid’s record label, Starboy Entertainment. Terri expressed his sadness in a heartfelt message he shared on social media.

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner