REAL MADRID MABINGWA WAPYA

Real Madrid wamefanikiwa kutwaa Kombe la Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya kwa kuichapa Dortmund kichapo cha mabao 2-0 magoli yaliyofungwa na Carvajal dakika ya 73 na Vinicius Jr dakika ya 82. Ubingwa huo unakamilisha jumla ya makombe 15 ya UEFA ambayo Real Madrid ameyatwaa na kuzidi kujikita kwenye kilele cha timu iliyochukua kombe hilo mara… Continue reading REAL MADRID MABINGWA WAPYA

Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema kuwa kinachoendelea katika Uchaguzi Mkuu nchini Afrika Kusini ambapo Chama Tawala cha ANC kimeshindwa kupata kura za kuunda serikali peke yake inapaswa kuwa somo kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumamosi Juni 01, 2024 na Naibu Katibu wa Habari, Uenezi, Mahusiano na Umma wa ACT Shangwe Ayo, Shaibu ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na viongozi wa chama hicho mkoani Pwani katika kikao kilichofanyika kata ya Mwandege, Jimbo la Mkuranga Jumamosi. “Kinachotokea kwa ANC nchini Afrika Kusini kinapaswa kuwa funzo kwa… Continue reading Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema kuwa kinachoendelea katika Uchaguzi Mkuu nchini Afrika Kusini ambapo Chama Tawala cha ANC kimeshindwa kupata kura za kuunda serikali peke yake inapaswa kuwa somo kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Online community abuzz with reactions as Asake yanks off Olamide’s YBNL from his Instagram bio.

The recent behavior of Nigerian Afrobeat musician Ahmed Ololade, commonly known as Asake, toward his record label, YBNL, established by rapper Olamide, has sparked online discussion. Asake who has risen to become one of the most prominent Afrobeat artists in Nigeria and beyond. His career gained significant momentum after signing with Olamide’s record label in… Continue reading Online community abuzz with reactions as Asake yanks off Olamide’s YBNL from his Instagram bio.

Singer D’banj expressed his admiration for Portable, stating he wishes he could emulate Portable’s style. D’banj referred to himself as a “new cat” in the music industry.

During a recent interview, renowned Nigerian artist D’banj openly expressed his admiration for his younger colleague, Portable. D’banj’s admiration for Portable highlights the appreciation for upcoming talent in the music industry. When interviewed on Beat FM, D’banj expressed that he appreciates Portable’s uninhibited and unconventional behavior in the public spotlight, and even desires to emulate… Continue reading Singer D’banj expressed his admiration for Portable, stating he wishes he could emulate Portable’s style. D’banj referred to himself as a “new cat” in the music industry.

HOW TO KNOW IF THE LOVE IS REAL

When someone loves you, you know and you will feel it. There will be evidences to attest to it. Below are some of the evidences… ✅ ATTENTION When someone loves you, he or she will give you attention. We give attention to the things that we love. ✅ CARE When someone loves you, they will… Continue reading HOW TO KNOW IF THE LOVE IS REAL

Mchezaji wa timu ya taifa ya Tanzania mwenye umri wa miaka 20, aliyekuwa akikipiga kwenye klabu ya KRC Genk, Kelvin John amejiunga na klabu ya AaB Fodbold inayoshiriki ligi daraja la kwanza maarufu kama NordicBet Liga ya huko nchini Denmark.

Mkurugenzi wa michezo wa AaB, Ole Jan Kappmeier amesema kuwa Kelvin John ni mchezaji wa mafanikio ambaye anaamini anaweza kujiendeleza zaidi akiwa klabuni hapo. Aidha Mchezaji Kelvin John kupitia mazungumzo yake na AaB alisema;- “Mara ya kwanza kabisa AaB ilipoonyesha nia, nilidhamiria kuja hapa, na kupitia mazungumzo yangu na klabu nilipata taswira nzuri juu ya… Continue reading Mchezaji wa timu ya taifa ya Tanzania mwenye umri wa miaka 20, aliyekuwa akikipiga kwenye klabu ya KRC Genk, Kelvin John amejiunga na klabu ya AaB Fodbold inayoshiriki ligi daraja la kwanza maarufu kama NordicBet Liga ya huko nchini Denmark.

Joe Cole has spoken out about Conor Gallagher’s importance to the team, calling him “probably the most important player in the dressing room”.

In an interview with talkSPORT Cole said: “If I were sitting in front of the Chelsea owners, I would tell them that Conor is probably the most important player in the dressing room.” “Before talking about what he does on the pitch, he understands the club. In difficult times you realize what a player is… Continue reading Joe Cole has spoken out about Conor Gallagher’s importance to the team, calling him “probably the most important player in the dressing room”.

TAZAMA USIKU WA D VOICE TABATA

Don Jazzy reconciled with singer Wizkid after Wizkid showed support for Don Jazzy’s record label signee ,Ayra Starr’s new album

Renowned music executive Don Jazzy and singer Wizkid have put their differences aside and reconciled. This positive development came about when Wizkid publicly expressed his support for Ayra Starr’s latest album, This retweet featured the recently launched album called “The year I turn 21” by Ayra Starr, an artist signed to the Mavin record label.… Continue reading Don Jazzy reconciled with singer Wizkid after Wizkid showed support for Don Jazzy’s record label signee ,Ayra Starr’s new album

MFAHAMU MCHEZA FILAMU ZA NGONO STORMY DANIELS ANAYEMTESA DONALD TRUMP

Stormy Daniels ndilo jina la mwanamke aliyetawala katika kesi ya jinai ambayo Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump alipatikana na hatia katika kesi ya kihistoria iliyofanyika Manhattan. Jina lake halisi ni Stephanie Gregory Clifford, mwigizaji wa zamani na mkurugenzi wa filamu za wakubwa. Katika kesi hiyo anadai kuwa mwaka 2006 alikutana na Trump, wakati… Continue reading MFAHAMU MCHEZA FILAMU ZA NGONO STORMY DANIELS ANAYEMTESA DONALD TRUMP

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner