MFAHAMU MSHAMBULIAJI MPYA WA AZAM JHONIER BLANCO

Klabu ya Azam FC imethibitisha kukamilisha usajili wa Mshambuliaji kutoka nchini Colombia Jhonier Blanco, ambaye rasmi ataanza kuonekana kikosini msimu ujao wa Ligi Kuu, Kombe la Shirikisho Tanzania Bara na Michuano ya Kimataifa. Azam FC imeanza mapema usajili wa wachgezaji wake Kimataifa, ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao kuelekea msimu ujao 2024/25, ambao unatabiriwa kuwa… Continue reading MFAHAMU MSHAMBULIAJI MPYA WA AZAM JHONIER BLANCO

KYLIAN MBAPPE AWEKA MPANGO WA KUTAJA TIMU YAKE MPYA

Mshambuliaji na Nahodha wa Timu ya Taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe amesema yupo tayari kuianika hadharani Klabu atakayoitumikia msimu ujao 2024/25. Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 25, amewaacha njia panda mashabiki wake, ambao wanatamani kufahamu wapi atakapocheza msimu ujao, Licha ya Miamba ya Soka mjini Madrid- Hispania Real Madrid kutajwa kuwa kwenye nafasi nzuri… Continue reading KYLIAN MBAPPE AWEKA MPANGO WA KUTAJA TIMU YAKE MPYA

15 THINGS YOU MUST GIVE YOUR SPOUSE IN RELATIONSHIPS

Do you really desire a healthy marriage? Are you really sure? Are you ready to give it all it will take? If you answered yes to all these questions, then let me tell you some things you must give to your spouse if you really want a great change. 1: Your Heart:Most marriages started by… Continue reading 15 THINGS YOU MUST GIVE YOUR SPOUSE IN RELATIONSHIPS

RAIS SAMIA SULUHU ZIARANI KOREA KUSINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara katika Jamhuri ya Korea Kusini kuanzia leo tarehe 30 Mei 2024 hadi 6 Juni 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Korea Kusini Mhe. Yoon Suk Yeol. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam Jana tarehe 29… Continue reading RAIS SAMIA SULUHU ZIARANI KOREA KUSINI

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Nyasa ambaye pia anagombea kutetea nafasi hiyo katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho, Mchungaji Peter Msigwa amewasilisha malalamiko dhidi ya Mjumbe wa Sekretarieti ya chama hicho John Mrema kwa kile alichokitaja kuwa mgongano wa masilahi katika uchaguzi wa kanda wa chama.

Katika barua aliyomwandikia Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika, Msigwa ameeleza kuwa mwenendo wa John Mrema unazua maswali kwani ameonesha dhahiri kuegemea upande wa mgombea mwenza wa uenyekiti wa kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na kuonesha dalili zote za rushwa kinyume na “Kanuni ya 1 (vi) ya Mwongozo wa Chama dhidi ya Rushwa Kwenye… Continue reading Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Nyasa ambaye pia anagombea kutetea nafasi hiyo katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho, Mchungaji Peter Msigwa amewasilisha malalamiko dhidi ya Mjumbe wa Sekretarieti ya chama hicho John Mrema kwa kile alichokitaja kuwa mgongano wa masilahi katika uchaguzi wa kanda wa chama.

ISRAEL YAKIUKA OMBI LA UNSC

Jeshi Israel linaendelea na mashambulizi yake dhidi ya Rafah, likipuuzia rasimu ya azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) linalohusikia kusitisha mauaji katika mji huo ulioko Kusini mwa Gaza. Mashambulizi mapya ya Anga yaliripotiwa katika mji wa Kusini jana Jumatano saa chache baada ya mashahidi na chanzo cha usalama cha Palestina kusema… Continue reading ISRAEL YAKIUKA OMBI LA UNSC

WIMBI LA JOTO KALI INDIA LAUA WATU

Mji Mkuu wa India New Delhi, unakabiliwa na wimbi la joto kali hali iliyovunja rekodi hadi kufikia nyuzijoto 52.3C ( 126.1F). Joto hilo limekuwa likisababisha Wanafunzi Mashariki mwa nchi hiyo kupoteza fahamu na watu kadhaa kupoteza maisha katika jimbo la Rajasthan. Kwa mujibu wa muuguzi mmoja, joto hilo limesababisha miili ya wengi kuishiwa maji hivyo… Continue reading WIMBI LA JOTO KALI INDIA LAUA WATU

Common Warning Lights on your Car’s Dashboard

What All the Symbols on Your Car’s Dashboard Mean 👉18 Common Warning Lights on Your Car’s Dashboard 👉What it Means & What to do In-Depth Analysis

Napoli striker Victor Osimhen is “delighted ” to join Chelsea this summer according to Chelsea insider Simon Phillips

Napoli striker Victor Osimhen is “delighted” to join Chelsea this summer, according to Chelsea insider Simon Phillips. The club did not have the season many had hoped for, partly due to a lack of goals throughout the season. Cole Palmer carried the team through on numerous occasions, but Christopher Nkunku was injured for much of… Continue reading Napoli striker Victor Osimhen is “delighted ” to join Chelsea this summer according to Chelsea insider Simon Phillips

Saida Boj is no longer active on social media due to the recent deactivation of her Facebook page

Saida Boj is no longer active on social media due to the recent deactivation of her Facebook page shortly after the deactivation of her Instagram and TikTok accounts. Saida Boj, the controversial influencer Sarah Idaji Ojone, has faced repercussions on social media platforms due to her provocative statements. Tik Tok and Instagram have both made… Continue reading Saida Boj is no longer active on social media due to the recent deactivation of her Facebook page

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner