WILLIAM RUTO Agoma Kuachia Madaraka

Rais wa Kenya, William Ruto amesema yuko tayari kukabiliana na wapiga kura mwaka 2027 na kuonya wanaojaribu kuvuruga utawala wake. Akijibu wito wa kujiuzulu kwa mara ya kwanza, Ruto alieleza kuwa Kenya ni nchi ya kidemokrasia ambapo viongozi huchaguliwa au kufutwa kupitia kura. “Tujue ya kwamba ikifika 2027 tutakuwa na mtihani na hawa wananchi na… Continue reading WILLIAM RUTO Agoma Kuachia Madaraka

Kwanini Mchezaji Roberto Firmino Amegeukia Kazi ya Injili?

Mshambuliaji wa zamani wa Liverpool na timu ya Taifa ya Brazil, Roberto Firmino amekuwa Mchungaji wa kanisa la Kiinjilisti ambalo alianzisha huko Meceio, Brazil pamoja na mkewe, Larissa Pereira. Katika taarifa kwenye mitandao ya kijamii, Filmino na Larissa walisema tangu walipookoka na kubatizwa mwaka 2020 walitamani pia na watu wengine wauone upendo wa Kristo juu… Continue reading Kwanini Mchezaji Roberto Firmino Amegeukia Kazi ya Injili?

Young Men: Avoid these 7 types of women

As a man, it’s never your duty to protect your woman from other men coming to toast her, flirt with her, or even sleep with her. It’s 100% your woman’s responsibility to create boundaries against men who want to encroach on her space. The moment your woman begins to entertain these external male figures, your… Continue reading Young Men: Avoid these 7 types of women

THE IMPORTANCE OF PILLOW TALKS

KURASA ZA MAGAZETI YA HIVI LEO 10/07/2024

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

‘I’m still in love with my ex-wife, Lilian Esoro’ – Ubi Franklin

Music executive Ubi Franklin has revealed that he’s still in love with his estranged wife, actress Lilian Esoro. The former artiste manager disclosed this during a recent interactive session with fans on Instagram. A curious fan asked, “Are you still in love with ur son[‘s] mom, the most beautiful Lilian?” Franklin replied, “Oh yes! We… Continue reading ‘I’m still in love with my ex-wife, Lilian Esoro’ – Ubi Franklin

Mwalimu Jela kwa Kuruhusu Mwanafunzi Kumlawiti

Mwalimu wa Shule ya Sekondari Naputa Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile. Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Mtwara, Issa Suleiman amesema mwalimu huyo siku za nyuma alijenga urafiki shuleni na mwanafunzi wa kidato cha nne mwenye… Continue reading Mwalimu Jela kwa Kuruhusu Mwanafunzi Kumlawiti

HOW TO IMPROVE COMMUNICATION IN YOUR RELATIONSHIP/ MARRIAGE

Sometimes when two people have been dating or married for so long, the communication can be flat. You’ve already known each other, so what is there to talk about? The chats become short and few, the phone calls become short and cold, when you are both at home everyone is busy doing their own thing,… Continue reading HOW TO IMPROVE COMMUNICATION IN YOUR RELATIONSHIP/ MARRIAGE

South Africa Celebrates 100 Days Of No Power Cuts

South Africans nearly had heart attacks on Thursday morning when the EskomSePush mobile app sent a push notification on Thursday, but for a change, they came bearing good news as they celebrated 100 days of no load shedding (no planned power cuts). The power utility Eskom said this period of stability is attributed to its… Continue reading South Africa Celebrates 100 Days Of No Power Cuts

Don’t Marry A Stupid Man,Marry A Man with Common Sense

Dear Ladies, DON’T MARRY A STUPID MAN,MARRY A MAN WITH COMMON SENSE. 1: Marry a man that has sense enough to know that paying your bride price is not equal to buying you. 2: Marry a man who has sense enough to know that marrying you is not doing you a favour. 3: Marry a… Continue reading Don’t Marry A Stupid Man,Marry A Man with Common Sense

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner