Donald Trump akerwa na msaada wa makombora kwa Ukraine
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, ameonesha kutoridhishwa na hatua ya Ukraine kurusha makombora ya masafa marefu yaliyotolewa na Marekani ndani ya Urusi. Katika mahojiano yaliyofanyika Alhamisi na jarida la…