KINANA AKATAA MABADILIKO YA KATIBA

“Sio lazima tubadili katiba hili kubadili sheria za uchaguzi” Abdullahman Kinana Makamu Mwenyekiti wa CCM ,Abdulrahman Kinana amesema kuwa haamini kwamba hili sheria ya uchaguzi ibadilike lazima katiba Mpya ipatikane,kwasababu zipo sheria zilizo kwenye katiba na zinabadilishwa. Amesema “Tukisema tunataka kubadili sheria ya uchaguzi na wakati imeelezwa kwenye katiba,tunaweza kufanya mabadiliko kwenye sheria hiyo na… Continue reading KINANA AKATAA MABADILIKO YA KATIBA

RAIS SAMIA AWAKAANGA MABALOZI WALA BATA

Dodoma. Rais wa Tanzania Dkt .Samia Suluhu Hassan amewaapisha MabaloziWateule Ikulu Chamwino Dodoma leo Agosti 16,2023 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba ni kwamba kuna Mabalozi ni kama vile hawajui wanachokifanya kwakuwa wapowapo tu na hawafanyi kazi kwa ufanisi. “Katika Nchi nyingine Mabalozi wetu sijui niseme hawajui wanachofanya ,wapo tu,nilishakutana na Rais mwenzangu ndani… Continue reading RAIS SAMIA AWAKAANGA MABALOZI WALA BATA

POLISI WAELEZA KUWASHIKILIA MWABUKUSI NA MDUDE

Dar es salaam. Jeshi la Polisi Makao Makuu,Dar es salaam, limetoa taarifa kuwa limewakamata na kuwashikilia Boniface Mwabukusi na Mpaluka Nyagali alimaarufu Mdude kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi. Taarifa iliotolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi,David Misime leo Agosti 12,imeeleza kuwa watuhumiwa hao walikamatwa usiku wa kuamkia leo katika maeneo ya Mikumi Mkoani… Continue reading POLISI WAELEZA KUWASHIKILIA MWABUKUSI NA MDUDE

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner