SABABU TFF KURUDISHA LIGI YA MUUNGANO

MICHEZO Kwa mara ya kwanza baada ya miaka 20 Kombe la Muungano linarejea tena wakati ambao Taifa linasherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Taarifa ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF) imesema TFF kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) zimetangaza kurejea kwa kombe hilo huku ikibainisha kuwa… Continue reading SABABU TFF KURUDISHA LIGI YA MUUNGANO

EL CLASSICO YA KIBABE LEO KUMBEBA NANI LEO KATI REAL MADRID NA BARCELONA

MICHEZO Ligi Kuu Uhispania inaendelea tena leo Aprili 21, 2024 kwa mechi nne huku macho na masikio ya wengi yakielekezwa kwenye dimba la Estadio Santiago Bernabéu (Madrid) ambapo utapigwa mchezo wa El Clasico kati ya wenyeji Real Madrid dhidi ya Barcelona. 22:00 Real Madrid vs Barcelona🏟️ Santiago Bernabéu, Madrid MECHI 5 ZILIZOPITA Real Madrid 4-1… Continue reading EL CLASSICO YA KIBABE LEO KUMBEBA NANI LEO KATI REAL MADRID NA BARCELONA

TECHNIQUES OF CONFLICT RESOLUTION

LOVE TIPS ❤ 10 TECHNIQUES OF CONFLICT RESOLUTION

SKIIBII FINALLY BREAKS SILENCE OVER RITUAL ALLEGATIONS

CELEBRITIES Nigerian singer Skiibii has finally reacted to being accused by influencer Nicki Dabarbie of attempting to use her for ‘ritual.’Skiibii finally breaks silence over ritual allegations. Nicki Dabarbie has been accusing Skiibii and Mayorkun on social media, that the duo attempted to use her for “ritual” after Skiibii invited her for a boat cruise.… Continue reading SKIIBII FINALLY BREAKS SILENCE OVER RITUAL ALLEGATIONS

8 THINGS WOMEN REALLY WANT IN BED

LOVE TIPS ❤ Starting Now Don’t be a boring reader, please always React on my Comments as you read point by point. If you are not following make sure you click the follow button! If this thread is not for you skip 🔞 When she visits you ,she doesn’t want you to grope her straight… Continue reading 8 THINGS WOMEN REALLY WANT IN BED

DALILI ZA AWALI ZA UJAUZITO

AFYA 1.Maumivu ya tumbo la uzazi pamoja na kutokwa na matone ya damu ukeni. ✍🏼Baada ya upevushaji wa yai, yai lililorutubishwa hujipandikiza kwenye mji wa mimba. Hii inaweza kusababisha dalili za awali za ujauzito ambazo ni kama kutokwa na matone ya damu na wakati mwingine maumivu ya tumbo la chini ya kitovu. ✍🏼Matone hutokana na… Continue reading DALILI ZA AWALI ZA UJAUZITO

BURNA BOY SABI KNACK

CELEBRITIES “Reason why I’m back with my girlfriend Steflon is that she is a very beautiful and šëxy lady she carry body wey no naija babe no carry lie no sweet I fit do anything for this babe but for my naija babe all the want is money, let me not lie to you I… Continue reading BURNA BOY SABI KNACK

TOFAUTI KATI YA FANGASI NA PID NI NINI?

AFYA Fangasi ukeni na PID (Pelvic Inflammatory Disease) ni magonjwa tofauti yanayohusiana na sehemu za uzazi za mwanamke. Hebu tuchunguze kila moja kwa undani: .Post abortion, hii humanisha wale waliopata shida ya mimba kuharibika na hawakusafishwa vizuri Zipo sababu nyingi lakini kwa ufupi ni hizi .Post IUCD , njia ya uzazi wa mpango wa kitanzi… Continue reading TOFAUTI KATI YA FANGASI NA PID NI NINI?

MADHARA YA FANGASI UKENI NA TIBA YAKE

AFYA MADHARA YA FANGASI UKENI👇 Madhara yafuatayo yanaweza kutokea ikiwa mgonjwa mwenye fangasi ukeni atashindwa kupata tiba mapema; ⏩ Mimba Kuharibika. Hii hutokea kwa mama mjamzito ambaye hakupata tiba ya maambukizi ya fangasi ukeni mapema ambapo maambukizi hayo huenea sehemu mbalimbali za via vya uzazi na kuharibu mji wa mimba (uterus), sehemu ambapo mimba hujishikiza… Continue reading MADHARA YA FANGASI UKENI NA TIBA YAKE

FAHAMU UKOMO WA HEDHI CHANZO,DALILI NA JINSI YA KUJIKINGA NA MADHARA YAKE

AFYA Kukoma kwa hedhi (Menopause) ni kitendo cha kawaida ambacho hutokea kwa wanawake hasa wanapofikia umri Wa kuanzia miaka 40 na kuendelea ingawa pia walioko Chini ya miaka 40 inaweza ikatokea pia na hii inategemea na pia huendelea baada ya miaka 40.Kukoma kwa hedhi hutokea pale ambapo mwanamke anakosa kuziona siku zake kwa muda Wa… Continue reading FAHAMU UKOMO WA HEDHI CHANZO,DALILI NA JINSI YA KUJIKINGA NA MADHARA YAKE

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner