SABABU ZINAZOPELEKEA KUJAMBA UKENI

AFYA Hili ni tatizo linalowakumba WANAWAKE wengi sana tena sana na wanashindwa wafanye nini kulitatua na pia wengi wao hawajui ni kitu gani kinasababisha hali hiyo?Hutokea mnapokua mnafanya tendo la Ndoa(mbuzi kagoma) Au Pia Wakati Wa Mazoezi Ambapo Hewa huingia Ndani Na Wakati wa kutoka hutoa mlio kama Kujamba. Hali hii huwa Ni Kawaida na… Continue reading SABABU ZINAZOPELEKEA KUJAMBA UKENI

SABABU YA KUWASHWA SEHEMU ZA SIRI NA TIBA YAKE

AFYA Kuwashwa sehemu za siri kwa wanawake ni miongoni mwa changamoto za kiafya zinazowasumbua wanawake wengi bila kujali rika lao. Tatizo la kuwashwa sehemu za siri kwa wanawake ni kubwa na hupelekea mwanamke kupata matatizo ya kisaikolojia kwa kuwa mara nyingi inakuwa vigumu wakati mwingine kusema kwa daktari kwamba nina tatizo sehemu zangu za siri.… Continue reading SABABU YA KUWASHWA SEHEMU ZA SIRI NA TIBA YAKE

FAHAMU KUHUSU MIMBA HEWA ( PSEUDOCYESIS PREGNANCY)

AFYA CHANZO, DALILI, MADHARA NA MATIBABU. _ Mimba ya uongo, kitaalamu tunaita, “Pseudocyesis” ni imani unayokuwa nayo kwamba unatarajia kupata mtoto wakati hakubeba mimba ya mtoto kabisa. Watu wenye mimba ya uongo wana dalili nyingi za ujauzito, japokuwa sio zote, lakini anakuwa na matarajio kabisa ya mtoto tumboni, na wanakuwa na dalili kama hizi: ●… Continue reading FAHAMU KUHUSU MIMBA HEWA ( PSEUDOCYESIS PREGNANCY)

MAKONDA AGEUKIA DAWA ZA KULEVYA

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

ARSENAL YAREJEA KILELENI MWA EPL KIBABE

MICHEZO Arsenal wamereja kileleni kwenye msimamo wa EPL baada ya kupata ushindi muhimu wa 2-0 ugenini dhidi ya Wolverhampton baada ya kuwa na wiki mbili za sintofahamu Vijana hao wa mwalimu Mikel Arteta walipoteza uelekeo baada ya kukubali kufungwa nyumbani na Aston Villa kabla ya kufurushwa nje ya michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya na… Continue reading ARSENAL YAREJEA KILELENI MWA EPL KIBABE

COMMON SIGNS OF CHEATING GIRLFRIEND OR BOYFRIEND

LOVE TIPS ❤ 7 SIGNS COMMON ON HOW TO NOTICE A. CHEATING GIRLFRIEND/ BOYFRIEND 1. She suddenly seems inseparable from her phoneWhen you first met, she hardly used her/his phone except for answering a call or responding to a text. There were no secrets between you. However, you notice that she now seems more interested… Continue reading COMMON SIGNS OF CHEATING GIRLFRIEND OR BOYFRIEND

COMMON SIGNS OF CHEATING GIRLFRIEND OR BOYFRIEND

LOVE TIPS ❤ 7 SIGNS COMMON ON HOW TO NOTICE A. CHEATING GIRLFRIEND/ BOYFRIEND 1. She suddenly seems inseparable from her phoneWhen you first met, she hardly used her/his phone except for answering a call or responding to a text. There were no secrets between you. However, you notice that she now seems more interested… Continue reading COMMON SIGNS OF CHEATING GIRLFRIEND OR BOYFRIEND

YOUNG AFRICANS YAICHAPA SIMBA KWENYE KARIAKOO DERBY

MICHEZO Wananchi wameendeleza ubabe kwenye ‘Derby’ ya pili ya msimu baada ya kuibuka na ushindi mwingine dhidi ya Watani, Simba Sc katika dimba la Benjamin Mkapa. YANGA SC 2-1 SIMBA SC⚽ Aziz Ki (P) 20′⚽ Guede 37′⚽ Freddy Kouablan 74′ Wananchi wanakwenda mpaka pointi 12 mbele ya Mnyama wakifikisha alama 58 baada ya mechi 22… Continue reading YOUNG AFRICANS YAICHAPA SIMBA KWENYE KARIAKOO DERBY

THE BENEFITS OF KISSING

LOVE TIPS ❤ 15 BEST BENEFITS YOU NEED TO KNOW ABOUT KISSING (For The Married)

MANCHESTER CITY YAINGIA FAINALI IKIICHAPA CHELSEA

MICHEZO Bernardo Silva alifunga bao pekee katika dakika ya 84 ya mchezo dhidi ya Chelsea na kuipa tiketi ya fainali ya kombe la FA Manchester City Juma lililopita kiungo huyo kutoka Ureno alikosa mkwaju muhimu wa penati na kuifanya City kutolewa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya na kocha wake Pep Guardiola alimkingia kifua… Continue reading MANCHESTER CITY YAINGIA FAINALI IKIICHAPA CHELSEA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner