GYM GOERS ARE CAREER SEX WORKERS

CELEBRITIES Media personality and Nollywood actress, Lolo1 whose real names are Omotunde Adebowale David, has claimed 80% of gymgoers are career sex workers80% of gymgoers are career sex workers – Lolo1 claims.. She stated this in the latest episode of the ‘Say My Piece’ podcast. She said; “Stats say that 80% of the people that… Continue reading GYM GOERS ARE CAREER SEX WORKERS

Askofu BAGONZA awavua nguo Wahubiri miujiza atoa msimamo huu

NYOTA WETU POTOFU HUZAA POTOSHI au POTOSHI HUZAA POTOFU? Dayosisi 7 za KKKT katika kanda ya Ziwa na Magharibi, kupitia Chuo cha Theologia na Biblia cha Nyakato, zinatekeleza mradi muhimu kuhusu mafundisho ya imani. Mradi huu unaoitwa “Theologia Potoshi” (Misleading Theology) unagusa nyanja karibu zote za maisha ya mwanadamu. Kupitia mradi huu, mkataba wa ushirikiano… Continue reading Askofu BAGONZA awavua nguo Wahubiri miujiza atoa msimamo huu

JELA MIAKA 30 KWA KUMMWAGIA TINDIKALI USONI MCHUMBA WAKE

HABARI KUU Mohamed Mwarandu Kombe (30), amehukumiwa miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kummwagia tindikali usoni aliyekuwa mchumba wake, Fatma Kaingu (23). Hukumu hiyo, imetolewa na Mahakama ya Mombasa Nchini Kenya baada ya mshitakiwa kupatikana kosa hilo lililomsababishia Fatma kuwa kipofu. Hakimu mkaazi Mwandamizi, Gladys Olimo amesema amezingatia ushahidi uliotolewa na upande… Continue reading JELA MIAKA 30 KWA KUMMWAGIA TINDIKALI USONI MCHUMBA WAKE

CHAD YAMPATA RAIS MPYA WA MPITO

HABARI KUU Kwa mujibu wa matokeo ya awali ya Tume ya Uchaguzi, Rais wa mpito wa Chad, Mahamat Idriss Déby Itno, ameshinda uchaguzi wa Urais wa Mei 6 kwa asilimia 61.03 ya kura, mbele ya mpinzani wake mkuu, Waziri Mkuu Succès Masra, aliyepata kura 18.53%. Hata hivyo Bw.Masra amedai kushinda uchaguzi huo katika raundi ya… Continue reading CHAD YAMPATA RAIS MPYA WA MPITO

Music producer Young John posted a video on social media featuring himself and Davido’s cousin, Nike Adeleke

CELEBRITIES Music producer Young John posted a video on social media featuring himself and Davido’s cousin, Nike Adeleke, who has a prominent physical feature. A viral video featuring Nigerian Afropop star Young John and Nike Adeleke, cousin of popular singer Davido, has sparked reactions on social media due to their evident chemistry. Yesterday May 9th,… Continue reading Music producer Young John posted a video on social media featuring himself and Davido’s cousin, Nike Adeleke

WHY SILENCE AFTER SEX

LOVE TIPS ❤ Women should understand by now that Sex is not attaching to men and “some men “have sex just for fun and they can have it with many women as many times as they can. Women be careful as men are pursuing you or chasing you. A man can do literally anything just… Continue reading WHY SILENCE AFTER SEX

MILIONI 300 ZAMBAKISHA KIBU DENIS SIMBA

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

POLICE INVESTIGATES ILLEGAL EMBALMING OF MOHBAD’S BODY

CELEBRITIES The Lagos State Police Command is still very much investigating the circumstances surrounding the d3ath of renowned singer, Mohbad. The investigation has prompted another invitation of the Aloba family and individuals implicated in the illegal embalming of his remains. Mohbad’s Personal Assistant, Boluwatife Adeyemo (Darosha), was questioned at the Zone 2 Police Headquarters alongside… Continue reading POLICE INVESTIGATES ILLEGAL EMBALMING OF MOHBAD’S BODY

Actress, Mercy Johnson, hints on 5th baby with husband

CELEBRITIES Mercy Johnson, a popular Nollywood actress, has hinted at her desire to expand her family by having another babyActress, Mercy Johnson, hints on 5th baby with husband . In a heartwarming video posted on her Instagram account, Mercy and her husband, Prince Okojie, a renowned politician, were seen preparing to celebrate their upcoming 13th… Continue reading Actress, Mercy Johnson, hints on 5th baby with husband

MOHAMED DEWJI KUFANYA USAJILI MWENYEWE SIMBA

MICHEZO Mwekezaji na Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba, Mohamed Dewji, anatarajiwa kuwa sehemu ya wafanya uamuzi ndani ya klabu hiyo ikiwa pamoja na kusimamia usajili wa wachezaji kuelekea msimu ujao wa mashindano, imefahamika. Habari za ndani ya klabu hiyo zinasema Simba SC inatarajia kuandaa muundo mpya ambapo Dewji atakuwa sehemu ya watoa uamuzi… Continue reading MOHAMED DEWJI KUFANYA USAJILI MWENYEWE SIMBA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner