“I was angry with Pochettino, but he made me stronger ” CUCURELLA

SPORTS Marc Cucurella, one of the team’s leaders in recent months, made a sensational statement in which he spoke about his difficult relationship with head coach Mauricio Pochettino. “Pochettino wanted to sell me in the summer,” the Spaniard admitted in an interview with esRadio Sevilla . “The club has already found options, but I decided… Continue reading “I was angry with Pochettino, but he made me stronger ” CUCURELLA

HOW TO TALK TO YOUR MAN ABOUT A SENSITIVE ISSUES

LOVE TIPS ❤ We sometimes complain that the men don’t want to talk or listen. Here’s some things that could help.. WATCH YOUR TONEWhen upset or frustrated, your tone could easily become sharp, harsh, condescending and full of coldness. A man doesn’t like engaging anyone with such a tone. Approach him with peace and the… Continue reading HOW TO TALK TO YOUR MAN ABOUT A SENSITIVE ISSUES

CRYSTAL PALACE YAICHAPA MANCHESTER 4-0

MICHEZO Crystal Palace imeifunga Manchester United nyumbani na ugenini kwa mara ya kwanza kwenye historia ya Ligi kuu England kufuatia ushindi mnono wa 4-0 dhidi ya Mashetani Wekundu katika dimba la Selhurst Park. Crystal Palace 4-0 Man United Mabao ya Crystal Palace yamefungwa na;⚽ Olise 13′⚽ Mateta 40′⚽ Mitchell 58′⚽ Olise 66′ Manchester United imeruhusu… Continue reading CRYSTAL PALACE YAICHAPA MANCHESTER 4-0

FREEMAN MBOWE ATAKA TANGANYIKA ITAMBULIKE KAMA ILIVYO ZANZIBAR

HABARI KUU Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe amesema ni wakati muafaka sasa kwa wananchi wa Tanganyika (Tanzania Bara) kuacha nidhamu ya woga na aibu katika kuzungumzia maslahi yao kwenye Muungano wa Tanzania, na kwamba jinsi wanavyoendeleleza woga huo ndivyo wanavyoendelea kupoteza kesho yao kwa kuizika historia ya nchi yao… Continue reading FREEMAN MBOWE ATAKA TANGANYIKA ITAMBULIKE KAMA ILIVYO ZANZIBAR

Fan of Nigerian superstar Wizkid made a generous offer to an Abuja barber who went viral for his unique haircut design ft Wizkid

CELEBRITIES The barber was promised a substantial sum of N2 million. Callistus Chisom Okolie, a barber from Abuja and a fervent Wizkid supporter, gained recognition after a viral interaction with renowned Nigerian musician Davido. Okolie made a statement online, which he refers to Wizkid as the “third biggest musician in the industry.” Davido expressed his… Continue reading Fan of Nigerian superstar Wizkid made a generous offer to an Abuja barber who went viral for his unique haircut design ft Wizkid

GODBLESS LEMA ATULIZA UPOTOSHAJI NDANI YA CHADEMA

HABARI KUU Aliyewahi kuwa mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema ameeleza kuwa hakuna vita ya nafasi ya kugombea Urais ndani ya Chama hicho katika uchaguzi ujao huku akisema amewahi kumsikia Makamu mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu akiweka wazi kuwa hawezi kuchukua fomu ambayo imeguswa na mwenyekiti wake Freeman Mbowe Kumekuwa na mijadala… Continue reading GODBLESS LEMA ATULIZA UPOTOSHAJI NDANI YA CHADEMA

VYAMA 11 VYA LAANI KAULI YA TUNDU LISSU

HABARI KUU KUFUATIA Kauli za hivi karibuni za Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA -Tundu Lisu, Vyama 11 vya Siasa Zanzibar vimelaani vikali kauli hizo ambazo wanadai kuwa ni kauli za Kebehi na uchochezi zinazolenga kuleta ubaguzi kwa Watanzania kupitia Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Akitoa wasilisho la Pamoja la Viongozi wa… Continue reading VYAMA 11 VYA LAANI KAULI YA TUNDU LISSU

MFAHAMU CHADRACK BOKA MRITHI WA LOMALISA PALE YOUNG AFRICANS

NYOTA WETU Klabu ya Yanga imefikia makubaliano ya kumsajili beki wa kushoto wa klabu ya FC Lupopo ya DR Congo, Chadrack Issaka Boka mwisho wa msimu kuchukua nafasi ya Joyce Lomalisa Mtambala ambaye anaondoka baada ya mkataba wake kuisha.

CHARLES KITWANGA awatetea polisi kuhusu rushwa na kuwabambikia raia kesi

NYOTA WETU Mwanasiasa wa siku nyingi na aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Nchini, Charles Kitwanga amekemea tabia ya kuwalaumu Polisi moja kwa moja kuhusu mapungufu ya huduma yaliyopo katika utendaji wao wa kazi ikiwemo uadilifu, huku akitaka jamii inayohudumiwa na wanausalama hao kujitambua, ili kuleta mabadiliko. Kitwanga aliyasema hayo katika mahojiano maalumu aliyowahi… Continue reading CHARLES KITWANGA awatetea polisi kuhusu rushwa na kuwabambikia raia kesi

The history of Pepe Kalle “Le Grand Kallé”

CELEBRITIES Pépé Kallé, sometimes written as Pepe Kalle (November 30, 1951 – November 29, 1998) was a Congolese soukous singer, musician and bandleader.Pépé Kallé was born Kabasele Yampanya in Kinshasa (then Léopoldville) in the Belgian Congo, but later assumed his pseudonym in hommage to his mentor, Le Grand Kallé. With a multi-octave vocal range and… Continue reading The history of Pepe Kalle “Le Grand Kallé”

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner