PACOME, AUCHO NA YAO WAONGOZANA NA YANGA KUIFUATA MAMELODI

MICHEZO Wachezaji wa Yanga SC viungo Khalid Aucho, Pacome Zouazoua na mlinzi Yao Attohoula ni miongoni mwawachezaji wa Yanga SC waliosafiri na kikosi hicho kwenda nchini Afrika Kusini kwa ajili ya pambano la marudiano dhidi ya Mamelodi Sundowns. Nyota hao walilikosa pambano la kwanza lililofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kutokana na… Continue reading PACOME, AUCHO NA YAO WAONGOZANA NA YANGA KUIFUATA MAMELODI

KOCHA WA YANGA MIGUEL GAMONDI AMTETEA MZINZE

MICHEZO Kocha wa Yanga Miguel Gamondi amegeuka mbogo kwa Mwandishi wa habari aliyeuliza kwanini amemuazisha kijana Mdogo Mzize na kumuacha Joseph Guede mkomavi na mwenye uzoefu na Michuano mikubwa, wakati wa mkutanao wa Waandishi wa habari baada ya mchezo. “Mzize ni ‘Future’ ya Tanzania sio Yanga tu, sasa atapataje uzoefu kama hapati nafasi ya kucheza,… Continue reading KOCHA WA YANGA MIGUEL GAMONDI AMTETEA MZINZE

YOUNG AFRICANS NA MAMELODI SUNDOWNS NI SARE

MICHEZO Yanga imeonyesha sio wanyonge baada ya kuwadhibiti Mamelodi Sundowns leo kwenye mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa kwenye Uwanja wa Mkapa licha ya kutoka suluhu ya 0-0. Ili Yanga kutinga nusu fainali ya michuano hiyo inahitaji kupata ushindi kwenye mechi ya marudiano ugenini nchini Afrika Kusini, April 5, 2024. Yanga… Continue reading YOUNG AFRICANS NA MAMELODI SUNDOWNS NI SARE

SIMBA YAKUBALI KICHAPO MBELE YA AL AHLY

MICHEZO Wekundu wa Msimbazi Simba SC imekubali kipigo cha 1-0 nyumbani dhidi ya Al Ahly ya Misri kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza ligi ya mabingwa Afrika Kipigo hicho kimetengeneza mlima wa kupanda kwa Simba SC kuelekea mchezo wa marudiano utakaopigwa Cairo Mechi tano zilizopita kati ya Al Ahly na Simba. Ligi ya Soka ya… Continue reading SIMBA YAKUBALI KICHAPO MBELE YA AL AHLY

ORODHA YA WACHEZAJI WA YANGA AMBAO WAKO HATARINI KUIKOSA MAMELODI SUNDOWNS

MICHEZO Pacome, Aucho, Yao hatarini kuwakosa Masandawana “Natarajia kuwakosa baadhi ya wachezaji wangu nyota. Siwezi kuhatarisha afya za wachezaji ambao bado hawana utimamu wa kimwili. Lakini kuna uwezekano mkubwa wa kukosa wachezaji watatu mpaka wanne,” amesema Kocha wa Yanga SC, Miguel Gamondi kuelekea mchezo dhidi ya Mamelodi Sundowns Machi 30 mwaka huu. Amesema wachezaji ambao… Continue reading ORODHA YA WACHEZAJI WA YANGA AMBAO WAKO HATARINI KUIKOSA MAMELODI SUNDOWNS

SHABIKI WA SIMBA AFARIKI KWENYE AJALI AKIWAWAHI AL AHLY

HABARI KUU Shabiki wa simba sc tanzania ambaye jina lake halijawekwa wazi bado amepoteza maisha alipokuwa njiani na mashabiki wenzake baada ya kupata ajali. Shabiki huyo wa Simba SC kutoka Tawi la Kiwira alikuwa safarini na mashabiki wenzake wamepata ajali hiyo ya gari eneno ya Vigwaza Pwani. Tawi hilo lilikuwa linakuja Jijini Dar es Salaam… Continue reading SHABIKI WA SIMBA AFARIKI KWENYE AJALI AKIWAWAHI AL AHLY

OFA YA YANGA KUMSAJILI DUBE HII HAPA

MICHEZO Uongozi wa klabu ya Yanga, umetuma ofa kwenda Azam FC kwa ajili ya kumuhitaji mshambuliaji wa timu hiyo Prince Dube. Yanga wapo tayari kuvunja mkataba wa mchezaji huyo kwa dau la Tsh million 512 huku wakitaka kulipa ada ya usajili kwa awamu mbili. Tayari Dude aliwasilisha ombi la kutaka kuvunja mkataba Azam FC huku… Continue reading OFA YA YANGA KUMSAJILI DUBE HII HAPA

AISHI MANULA KUIKOSA AL AHLY

MICHEZO Klabu ya Simba imepata pigo baada ya mlinda mlango Aishi Manula kuripotiwa kupata majeraha yatakayomuweka nje ya uwanja kwa muda mrefu kama ambayo yalimuweka nje mwanzoni mwa Msimu huu. Manula anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu kati ya miezi 10 hadi miezi 12. Kukosekana kwa nyanda huyo wa timu ya Taifa ya… Continue reading AISHI MANULA KUIKOSA AL AHLY

SABABU ZA BAKARI MWAMUNYETO KUGOMEA KURUDI YANGA

NYOTA WETU Nahodha wa timu ya Yanga amegoma kurejea kambini kujiandaa na mchezo wa robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika CAFCL kutoķana na kile kinachodaiwa ufinyu wa nafasi katika kikosi cha kwanza. Katika Mechi za hivi karibuni kocha wa Yanga Miguel Gamond amekua akiwatumia Dickson Job na Ibrahim Bacca kama mabeki wakati, kitu… Continue reading SABABU ZA BAKARI MWAMUNYETO KUGOMEA KURUDI YANGA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner