AUCHO AADHIBIWA KWA KOSA LA KUPIGA
MICHEZO Kiungo wa klabu ya Yanga, Khalid Aucho raia wa Uganda amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya shilingi laki tano 500,000/ kwa kosa la kumpiga kiwiko Mshambuliaji wa timu…
MICHEZO Kiungo wa klabu ya Yanga, Khalid Aucho raia wa Uganda amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya shilingi laki tano 500,000/ kwa kosa la kumpiga kiwiko Mshambuliaji wa timu…
NYOTA WETU. Nguli na rapa kutoka nchini Marekani, Snoopdog ameandika kwenye mtandao wake kuhusu kuacha kuvuta. "Baada ya muda mrefu wa tafakuri na majadiliano na familia yangu ,nimeamua kuacha kuvuta.…
NYOTA WETU. Msanii aliyejulikana zaidi kwenye miondoko ya singeli maarufu kama D Voice ametambulishwa rasmi kama msanii mpya wa lebo ya WCB. Mmiliki wa lebo hiyo Mwanamziki Naseeb Abdul "Diamond…
MAGAZETI Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.
HABARI KUU. Rais wa Romania, Mheshimiwa Klaus Lohannis, amewasili nchini kwa ziara ya kitaifa kuanzia leo tarehe 16 oktoba hadi Oktoba 19 Novemba 2023 kufuatia mwaliko wa Rais Samia Suluhu…
MICHEZO ABDELHAK BENCHIKHA aliyewahi kuwa kocha mkuu wa USM ALGER anatajwa kuwa Kwenye hesabu za kupewa mikoba ya Roberto Oliviera. Baada ya ubao wa Uwanja wa Benjamin Mkapa Novemba 5…
HABARI KUU Waraka mpya uliotiwa saini na Papa Francis, umesema mafundisho ya Ukatoliki na uanachama wa Freemason hayawezi kuendana . Barua hiyo iliotolewa na ofisi ya mafundisho ya Vatican ilinukuu…
MICHEZO Manchester united ipo tayari kumpiga bei nyota wake wa Kibrazil Carlos Henrique Casemiro kwenda Saudia Arabia. Kwenye mpango mpya wa sir Jim Ratcliffe nyota huyo atakuwa hana nafasi tena.
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo ni magazeti ya mbele kwa njia ya picha.
HABARI KUU. Mwanaharakati wa Chama cha upinzani cha Citizens Coalition for change (CCC) kutoka Zimbabwe aliyeteka nyara jumamosi iliyopita,amekutwa akiwa amefariki. Msemaji wa Chama cha CCC Promise Mkwananzi ameelezea kuwa…