WANAJESHI WA ISRAEL WAIVAMIA HOSPITALI YA AL SHIFA
HABARI KUU. Jeshi la Israel limefanya operesheni dhidi ya Hamas iliyolenga hospitali moja kwa moja ya Al shifa mjini Gaza . Jeshi hilo limetaka kujisalimisha kwa watu linalowaita magaida. Mtu…
HABARI KUU. Jeshi la Israel limefanya operesheni dhidi ya Hamas iliyolenga hospitali moja kwa moja ya Al shifa mjini Gaza . Jeshi hilo limetaka kujisalimisha kwa watu linalowaita magaida. Mtu…
MICHEZO. Mkurugenzi Mtendaji wa Manchester United, Richard Anorld anatarajiwa kuondoka klabuni hapo kabla ya mwisho wa mwaka huu. Anorld aliyejiunga na Manchester United mwaka 2017 akichukuwa nafasi ya Ed Woods,…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo.
MICHEZO. Klabu ya Al-Nassr Fc ya Saudia Arabia imefungua mazungumzo na nyota wa Ureno ,Cristiano Ronaldo juu ya nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kusalia klabuni hapo mpaka 2027. Mkataba…
MICHEZO Nyota wa zamani wa vilabu mbalimbali Duniani, Alexander Song amestaafu rasmi akiwa na umri wa miaka 36. Mchezaji huyo raia wa Cameroon 🇨🇲 amevitumikia vilabu vya Arsenal, Barcelona na…
HABARI Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya kupambana na kudhibiti Dawa za kulevya, Aretas Lymo amesema wanayo orodha ya wasanii wanaotumia na wale wanaohamasisha matumizi ya dawa za kulevya nchini na…
NYOTA WETU. Madam Rita akiwa kwenye mazungumzo ndani ya Idhaa ya Kiswahili ya Kiswahili Tanzania (TBC) amefunguka kuhusiana na mahusiano yake ambapo amesema kuwa yeye bado yupo single na waliachana…
MICHEZO. Kocha wa Real Madrid, Mkongwe, Don Carlo Ancelotti amezungumzia makosa ambayo makocha wa kizazi kipya wanafanya kwa wachezaji wao ambapo ameelezea utoaji wa maelekezo wakati mchezaji akiwa na mpira…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu.
MICHEZO Kocha wa Manchester City akizungumza kuhusu Chelsea;- "Chelsea walichokifanya kwenye usajili ndicho kimewafanya wawe hivi . Watafikia mafanikio ndani ya msimu huu au misimu ijayo kwasababu wamejijenga kwa ajili…