MESSI HANA MPINZANI HUKU
MICHEZO Mwandishi nguli wa habari za michezo, Fabrizio Romano amethibitisha kuwa Lionel Messi ndiye mchezaji bora wa mwaka wa jarida la habari la Ufaransa la France Football Balloon d'Or. Romano…
MICHEZO Mwandishi nguli wa habari za michezo, Fabrizio Romano amethibitisha kuwa Lionel Messi ndiye mchezaji bora wa mwaka wa jarida la habari la Ufaransa la France Football Balloon d'Or. Romano…
HABARI KUU Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Instagram, amemsihi Rais Samia Suluhu Hassan kujihadhari na wapambe na machawa.…
MAGAZETI
Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo ikiwa ni tarehe 26 Oktoba 2023.
(more…)HABARI KUU Waziri Mkuu wa Iceland Katrin Jakobsdottir ,leo anaungana na maelfu ya wanawake kuandamana kudai malipo sawa pamoja na kupinga ukatili wa kijinsia. Maandamano hayo yanalenga kuongeza ufahamu juu…
MAGAZETI
Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo.
(more…)HABARI KUU Mamlaka ya Uchina inachunguza baada ya video iliyosambaa mitandaoni ikimuonyesha mfanyakazi kutoka Tsingtao akikojoa kwenye tanki ,linaloaminika kuwa na viambato vya bia. Klipu hiyo iliyotazamwa na mamilioni ya…
MICHEZO Kuelekea michezo ya hatua ya robo fainali ya kombe la Afrika (AFL) kesho kati ya Simba na Al Ahly, katika dimba la Cairo ,imebainika sasa kuwa goli la ugenini…
MASTORI Mchambuzi Garry Neville "Chelsea imeonyesha dalili za kwa namna gani watakuwa hapo mbeleni . Bado wana matatizo kwenye ushambuliaji, bado hawajampata Mshambuliaji bora. "Unaweza kuona sehemu ya kiungo na…
MAGAZETI
Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye asubuhi ya Oktoba 23,2023.
(more…)HABARI KUU Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliokutana hivi leo tarehe 22 Oktoba, 2023 mjini Dodoma,katika kikao chake maalumu, chini ya Mwenyekiti wa CCM ,ndg Dkt. SAMIA SULUHU…