HABARI KUU. Kutokana na kile ambacho tunaweza kuangalia ni kwamba, Waisrael, ambao walikuwa wameanza uvamizi wa Gaza Polepole ,hivi sasa wameanza kupinga hatua kubwa. Wanajeshi wao 17 wameuawa katika vita,na…
Mmiliki wa mtandao wa X,SpaceX, na Tesla Elon Musk ameonekana kuonyesha wasiw.asi wake juu ya matumizi ya Akili Bandia (Artifical Intelligence (AI)) .
Mapema mwaka huu Musk alionya kuwa teknolojia hiyo inaweza kuleta uharibifu wa ustaarabu.
Bilionea huyo yuko nchini Uingereza kwenye mkutano mkubwa wa AI uliokutanisha mabosi wa teknolojia na Viongozi kutoka pande mbalimbali za Dunia.
Akizungumza na shirika la habari la Sky News ,Musk aliulizwa kama bado anafikiria teknolojia hiyo ni tishio kwa binadamu, naye alijibu kuwa “ni hatari”.
HABARI KUU Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limesema limeanzisha operesheni maalum ya kuwasaka wanafunzi wa kike wanaojiuza vyuoni. Pia, wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja kwenye kumbi za starehe…
NYOTA WETU. Msanii wa Nigeria Burna Boy amefunguka baada ya kugoma kwenda Dubai kufanya onesho ambalo angelipwa mamilioni ya dola zaidi ya milioni 5 baada ya kukosa kibali cha kuvuta…
NYOTA WETU Ikumbukwe Januari 8,2010 Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Togo ilishambuliwa na magaidi katika eneo la Kabinda wakati ikiwa njiani kwenye basi ikielekea Angola kuanza michuano…
NYOTA WETU Lionel Messi azawadiwa Pete nane za dhahabu kuwakilisha tuzo zake nane za Ballon d'Or baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa tuzo hizo,siku ya jumatatu. Mshambuliaji huyo wa Inter…
MICHEZO Cristiano Ronaldo achekeshwa na maneno ya Mwandishi wa habari aliyekuwa akizungumzia tuzo za Ballon d'Or ya nane ya Mshambuliaji Lionel Messi na kuutafsiri kama "upendeleo ". Ronaldo aliweka comment…
HABARI KUU Mfanyabiashara wa madini na mmiliki wa klabu ya TP Mazembe ,Moise Katumbi (58) ambaye ni Gavana wa zamani wa jimbo la Katanga anatarajia kuwania urais kupitia tiketi ya…