BRICS YAPATA WANACHAMA WAPYA 6

0:00

Johannesburg

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa ni kuwa kundi la Mataifa yanayoibuka kiuchumi (BRICS), Januari 2024 litapokea Wanachama wapya ambao ni Argentina, Misri, Ethiopia, Iran,Saudia Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).

Ramaphosa amesema takriban nchi 40 Duniani zimeonesha nia ya kujiunga na #BRICS huku nchi 23 kati ya hizo zikiwa tayari zimetuma maombi kwenye kundi hilo ambalo kwasasa wanachama wake ni Brazil, Urusi,India,China na Afrika Kusini.

Mkutano wa BRICS umefanyika leo Agosti 24,2023 Johannesburg, Afrika kusini na umehudhuriwa na viongozi zaidi ya 50 kutoka Mataifa Yasiyo wanachama wa BRICS, akiwemo Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Fritz beats De Minaur at ATP finals...
Taylor Fritz moved closer to the semis of the season-ending...
Read more
WASIOCHUKUA VITAMBULISHO VYA NIDA KUVILIPIA
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
MAMBO YA KUZINGATIA ILI KUTUNZA FIGO
MAKALA Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH), Dkt. Alphonce...
Read more
10 ACTS OF SPEAKING TO A MAN
LOVE TIPS ❤ Avoid talking tough to him. Don't make...
Read more
5 signs the woman that said Yes...
Fake YES! She said Yes, you are happy, the relationship was...
Read more
See also  Jacob Zuma awalalamikia majaji kumzuia kugombea Ubunge

Leave a Reply