FAMILIA YA OMAR BONGO YAZIDI KUANDAMWA
Habari Kuu Silivia Bongo Ondimba, Mke wa Rais aliefurushwa madarakani Ali Omar Bongo Ondimba ameshitakiwa kwa kosa la utakatishaji pesa ambapo ofisi ya mashtaka imeziagiza idara za usalama kumuweka chini…
Habari Kuu Silivia Bongo Ondimba, Mke wa Rais aliefurushwa madarakani Ali Omar Bongo Ondimba ameshitakiwa kwa kosa la utakatishaji pesa ambapo ofisi ya mashtaka imeziagiza idara za usalama kumuweka chini…
Makala Fupi Leo imekuwa siku ya kihistoria baada ya Mteule ,Mhadhama Protas Kadinali Rugambwa kutawazwa kuwa Kadinali mpya kutokea Tanzania. Huyu anakuwa Kadinali wa 3 baada ya Lauren Rugambwa, Polycap…
Magazeti Magazeti kwa njia ya picha,
Michezo Nafasi ya Samuel Eto'o ipo mashakani kama Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Cameroon (FECAFOOT) kutokana na barua iliotumwa kwa shirikisho la soka ulimwenguni (FIFA) na maafisa wa…
Magazeti Hujambo, Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya hivi. Karibu kwenye mbao za magazeti ya Tanzania 🇹🇿 kama yanavyoonekana leo.
Michezo Hassan Mwakinyo ameingia kwenye mzozo na promota wa pambano lake na Mnamibia katika siku ya mwisho ya kuingia ulingoni ni baada ya promota huyo kukiuka baadhi ya vitu. Mwakinyo…
Michezo Kwa mujibu wa jarida la Bloomberg, wamiliki wapya wa Chelsea wanapanga kukopa paundi 250 milioni kwa ajili ya kuingia sokoni kununua wachezaji wapya. Pamoja na mpango mkakati huo wamiliki…
Magazeti Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo Septemba 29,2023.
Michezo Timu ya Manchester City imekuwa timu ya kwanza kwa timu za kwanza tano, kuaga kwenye michuano ya CARABAO baada ya kupokea kichapo cha goli 1 kwa bila dhidi ya…
Magazeti Ni Septemba 28,2023 karibu Mtanzania kwenye mbao za magazeti ya hivi leo .