0:00

MICHEZO

Kocha wa zamani wa Chelsea MAURIZIO SARRI amesema:-

“Ndani ya Chelsea nilipata tabu kuingia kwenye mfumo wa klabu,klabu ambayo haikuwa na Mkurugenzi wa michezo, kwenye klabu ambayo kocha kudumu miaka miwili ilikuwa ngumu.

Lakini kwa miezi michache ya mwishoni, nilifurahia kuwa pale na nilifanya makosa kutaka kuondoka . Sio kuondoka kwa Chelsea tu ingawa walikuwa tayari niendelee kuwepo ,bali upekee wa Ligi kuu ya England. Kurudi Italia ilikuwa kosa”.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Klabu ya Simba imeonesha nia ya kutaka kumsajili mlinzi wa pembeni wa Singida Fountain Gate Nickson Kibabage ambaye yupo kwa mkopo Yanga SC .
Don't miss out!
Invalid email address

Leave a Reply

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading