0:00
NYOTA WETU
Ni headlines zingine za rapa Kanye West akifanya Interview na ‘The Download Show with Justin La Boy’ ambapo amekufuru kwa kujiita yeye ni Mungu anaiendesha dunia.
“Sisi ni ufalme na mimi ndio Mkuu/kiongozi wa Ufalme. Mimi ni Mungu hakuna mtu anayeweza kutoa juu ya hilo mwisho. Mimi ni Mungu ninaendesha dunia” amesema Kanye West
Kupitia Interview hiyo amefunguka issues nyingi kama za kumpiga ngumi mtu aliyemshika mke wake, muziki wake, Bifu za wasanii zinazoendelea Marekani (Drake, Kendrick Lamar, J Cole) na Biashara zake.
Hii sio mara ya kwanza Kanye West kujiita Mungu, kupitia Album yake ya 6 ‘Yeezus’ iliyotoka mwaka 2023, ipo ngoma inayoitwa ‘I Am A God’ akijifananisha na Mungu.
Related Posts 📫
SYDNEY, - World Cup-winning winger Joe Roff, who played an...
NYOTA WETU
Mwanamieleka wa zamami ambaye kwa sasa Muigizaji John...
MICHEZO
Mchezaji wa Simba SC, Clatous Chama amefungiwa michezo mitatu...
President William Samoei Ruto has Yesterday re-nominated six cabinet secretaries...
LONDON, - Alex Ferguson may have been stripped of his...