Sababu za Waziri Mkuu Succès Masra kujiuzulu

0:00

HABARI KUU

Waziri Mkuu wa Chad, Succès Masra, amewasilisha barua yake ya kujiuzulu Mei 22,2024 ikiwa ni zaidi ya wiki mbili baada ya kushindwa katika uchaguzi wa Rais wa Mei 6 huku Jenerali Mahamat Idriss Déby Itno, akiibuka mshindi.



“Nimewasilisha kujiuzulu kwangu na kwa Serikali ya mpito, ambayo imekuwa haina umuhimu na kumalizika kwa Uchaguzi wa Rais, na kwa mujibu wa Katiba”, anaandika Succès Masra kwenye ukurasa wake wa Facebook, katika ujumbe uliothibitishwa na Bunge”.



Hili si jambo la kushangaza hata kidogo, kwani hatambui matokeo ya uchaguzi wa Urais.

Kama Mawaziri Wakuu wote wa zamani, anaalikwa kesho kwa kuapishwa kwa Mahamat Idriss Déby, lakini hatarajiwi kuhudhuria.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

President Ruto Appoints New Leaders to Key...
President William Samoei Ruto has announced the nomination of Ahmed...
Read more
Narendra Modi ameapishwa kuhudumia India kwa muhula...
Mwanasiasa mkongwe Narendra Modi (73), leo amekula kiapo mbele ya...
Read more
USES OF SALT IN THE KITCHEN
TIPS To remove the odour from your hands after cutting onions,...
Read more
Common Warning Lights on your Car's Dashboard
What All the Symbols on Your Car’s Dashboard Mean 👉18 Common...
Read more
Labour Union has strongly urged pres. Bola...
NLC and TUC are urging President Bola Tinubu to refrain...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  SAFARI YA ZITTO KABWE KUGOMBEA URAIS WA TANZANIA HIKO HIVI

Leave a Reply