Orodha ya washindani wa Paul Kagame uchaguzi mkuu nchini Rwanda

0:00

SIASA

Tume Huru ya uchaguzi nchini Rwanda imewaidhinisha watu watatu katika kuwania kiti cha Urais katika uchaguzi mkuu ujao mwezi Julai.

Paul Kagame kutoka chama cha FPR , Frank Habineza wa chama cha Democratic Green Party na Philippe Mpayimana mgombea binafsi ndio walioidhinishwa na tume huye licha ya Rais Paul Kagame kupewa nafasi kubwa na kushinda tena uchaguzi.

Ambao waliondolewa kwa kushindwa kuonyesha vyeti vyao halali vya kuzaliwa na wadhamini ambao hawajatimiza matakwa ya tume wanaweza kukata rufaa ndani ya siku tano.

Wagombea sita kati ya tisa waliokuwa wamepeleka vyeti vyao ndio ambao wamekutwa wakiwa hawajakidhi vigezo vya kuwania kiti cha Urais katika uchaguzi wa mwezi Julai 15,2024.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

WATU 9 WAFARIKI BAADA YA GARI LAO...
HABARI KUU Watu tisa wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa...
Read more
LHRC KUMSHITAKI OSCAR OSCAR
NYOTA WETU Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC)...
Read more
KATIBU MKUU WA CCM BADO ASHIKILIA MSIMAMO...
HABARI KUU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi...
Read more
Everton's new owners back Dyche as manager...
Everton manager Sean Dyche said he has the support of...
Read more
Outrage Erupts on Social Media as Man...
In a shocking turn of events, a man has taken...
Read more
See also  Former Nigerian President, Olusegun Obasanjo, on Friday said the country can only progress when those in power change their mentality and critically re-examine themselves.

Leave a Reply