MARY NJOKU SHARES STANCE ON DNA TEST ,SURPRISES MANY

CELEBRITIES Mary Njoku shares stance on DNA test, surprises many::::: Mary Njoku raises brows as she claims that men carry out DNA tests as a way to avoid responsibility for their children. The legendary actress made this bold claim via her Instagram page after seeing the controversy surrounding DNA testing. She stated that for the… Continue reading MARY NJOKU SHARES STANCE ON DNA TEST ,SURPRISES MANY

SABABU YA KIFO CHA GADNER HABASH MTANGAZAJI WA CLOUDS MEDIA

NYOTA WETU Mtangazaji maarufu wa kituo cha radio cha Clouds FM, Gadner G. Habash (Captain) amefariki Dunia leo April 20, 2024. Gadner alikuwa amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure . Kupitia kipindi cha JAHAZI Gadner alijizolea umaarufu mkubwa kwa namna yake ya pekee… Continue reading SABABU YA KIFO CHA GADNER HABASH MTANGAZAJI WA CLOUDS MEDIA

MWILI WA MKUU WA MAJESHI KENYA KUZIKWA NDANI YA MASAA 72

HABARI KUU Mwili wa Mkuu wa Majeshi Nchini Kenya, (CDF) Jenerali Francis Ogolla aliyefariki katika ajali ya Helikopta siku ya Alhamisi eneo la Sindar katika Kaunti ya Elgeyo Marakwet Nchini humo utazikwa nyumbani kwa familia yake huko Alego Usonga, Kaunti ya Siaya siku ya Jumapili, Aprili 21, 2024. Mwanafamilia alifichua kuwa marehemu Jenerali Ogolla alikuwa… Continue reading MWILI WA MKUU WA MAJESHI KENYA KUZIKWA NDANI YA MASAA 72

SABABU KIFO CHA JENERALI FRANCIS OGOLLA

HABARI KUU Mkuu wa Majeshi nchini Kenya Jenerali Francis Ogolla, amefariki Dunia kufuatia ajali ya Helikopta ya Jeshi la Ulinzi la Kenya kushika moto baada ya kuanguka katika eneo la Sindar, katika Kaunti ya Pokot Magharibi. Polisi wanasema watu watano waliokuwemo ndani ya helikopta hiyo wamefariki huku watatu wakinusurika.

CLEMENT MZIZE NA PRINCE DUBE WAZIKUTANISHA KATI AZAM NA YOUNG AFRICANS

MICHEZO Wakati tetesi zikieleza kuwa Uongozi wa Azam FC umewasilisha ofa kwa mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans ukihitaji huduma ya Mshambuliaji Clement Mzize, Mchambuzi wa Soka Tanzania Jemedari Said Kazumari amefichua baadhi ya mambo kuhusu ofa hiyo. Azam FC imekuwa ikitajwa kuwasilisha ofa hiyo tangu jana Jumatatu (Aprili 15), ikiamini Mshambuliaji huyo atatosha… Continue reading CLEMENT MZIZE NA PRINCE DUBE WAZIKUTANISHA KATI AZAM NA YOUNG AFRICANS

MR IBU KUZIKWA JUNI 28

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

BENFICA NA MIPANGO YA KUMPA JOSE MOURINHO KAZI

MICHEZO Imefahamika kuwa Kocha kutoka nchini Ureno Jose Mourinho anafahamu kila kitu kuhusu mpango wa kuhusishwa na ajira kwenye klabu ya SL Benfica. Kocha huyo wa zamani wa Chelsea na Inter Milan anahusishwa na SL Benfica kwa ajili ya msimu ujao 2024/25, kufuatia kocha mkuu wa sasa wa klabu hiyo Roger Schmidt, kuhusishwa na Klabu… Continue reading BENFICA NA MIPANGO YA KUMPA JOSE MOURINHO KAZI

YANGA YARAMBA MDHAMINI MPYA SILVER GENERAL INVESTMENT

MICHEZO Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans leo Jumanne (Aprili 16) imeingia mkataba wa mwaka mmoja na kampuni ya Silver General Investment unatoa fursa kwa mashabiki na Wanachama wa timu hiyo kukopeshwa simu na kulipa kwa awamu tofauti. “Mwanachama na Shabiki wa Young Africans ambaye anahitaji kukopeshwa simu anapaswa kutoa kiasi cha Tsh 75,000 na… Continue reading YANGA YARAMBA MDHAMINI MPYA SILVER GENERAL INVESTMENT

10 ACTS OF SPEAKING TO A MAN

LOVE TIPS ❤

RUNGU ZITO WANAOCHAFUA VIONGOZI MITANDAONI

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner