BOBRISKY’S MALE BIOLOGICAL PARTS REVEALED TO BE INTACT

CELEBRITIES bobrisky male examination correctional centreNCoS official speaks on the outcome of their examination after the controversial crossdresser, Bobrisky was admitted to the correctional center. A top official at the Ikoyi Custodial Centre who spoke confidentially with correspondents of PUNCH made it known that the crossdresser who was handed 6 months in jail was examined… Continue reading BOBRISKY’S MALE BIOLOGICAL PARTS REVEALED TO BE INTACT

SAKATA LA PAULINE GEKUL LACHUKUA SURA MPYA

HABARI KUU Mahakama kuu kanda ya Manyara imefutilia mbali rufaa ya Hashimu Ally dhidi ya Mbunge wa jimbo la Babati Mjini Pauline Gekul kwa sababu Rufaa hiyo haikuwa na mashiko mbele ya mahakama hiyo Maamuzi hayo yametolewa na Jaji wa mahakama kuu kanda ya Manyara Devotha Kamzola huku akiwataka warufani kukata rufaa kama hawajaridhika na… Continue reading SAKATA LA PAULINE GEKUL LACHUKUA SURA MPYA

LIVERPOOL NA ARSENAL ZILIVYOCHANA MIKEKA

MICHEZO Liverpool na Arsenal zote zikiwa nyumbani zimepokea vichapo mshtuko kwenye ligi kuu soka nchini England Miamba hiyo imepoteza kwenye kipindi muhimu cha hesabu za kuwania taji la EPL na kutoa fursa kwa Manchester City kukaa kileleni kwenye msimamo wa ligi hiyo Liverpool wakiwa Anfield walishtukizwa 1-0 na Crystal Palace wakati kicha Unai Emily na… Continue reading LIVERPOOL NA ARSENAL ZILIVYOCHANA MIKEKA

PAUL MAKONDA ATEMBELEA MAENEO YALIYOATHIRIWA NA MAFURIKO

HABARI KUU Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametembelea maeneo ya Jiji la Arusha yaliyoathiriwa na mafuriko yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani humo. Maeneo aliyotembelea ni pamoja na Sakina na Mianzini ambayo yameathirika zaidi na mvua na kusababisha vifo vya watu sira na uharibifu mkubwa wa miundombinu. Akizungumza na wananchi wa maeneo hayo… Continue reading PAUL MAKONDA ATEMBELEA MAENEO YALIYOATHIRIWA NA MAFURIKO

KAULI YA MAKONDA YAZUA KIZAAZAA

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

YANGA YAICHAPA SINGIDA IKIIPA SIMBA MASWALI MAGUMU

MICHEZO Ikicheza mchezo wake wa 21, Yanga imepata ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Singida Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza Magoli yamefungwa na Joseph Guede mawili na Stephene Aziz Ki, hivyo Yanga imefikisha pointi 55, ikiongoza kwa tofauti ya pointi 8 dhidi ya Azam FC inayofuatia… Continue reading YANGA YAICHAPA SINGIDA IKIIPA SIMBA MASWALI MAGUMU

SABABU BENO KAKOLANYA KUIKIMBIA MECHI YA YANGA

MICHEZO Baada ya klabu ya Singida Big Stars kutoa taarifa kuwa, mlinda mlango wake, Beno Kakolanya ametoroka kambini wakati timu ikikabiliwa na mchezo muhimu dhidi ya Yanga Sc, Beno amekanusha taarifa hizo na kusema kamwe hawezi kutoroka kambini. Beno Kakolanya ameeleza kuwa hajatoroka kambini bali alitoa taarifa kwa meneja wa timu na kuruhusiwa. “Nilimpa taarifa… Continue reading SABABU BENO KAKOLANYA KUIKIMBIA MECHI YA YANGA

KASI ONGEZEKO “SINGLE MOTHERS” SASA YATISHA

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

TP MAZEMBE YAKANUSHA TAARIFA ZA KIFO CHA RAINFORD KALABA

MICHEZO Klabu ya TP Mazembe imechapisha taarifa kuwa nguli wake Rainford Kalaba yupo kwenye wodi ya wagonjwa mahututi nchini Zambia baada ya kupata ajali mbaya ya gari mapema leo Aprili 13. Awali vyanzo mbalimbali vya habari vilichapisha taarifa kuwa mwanandinga huyo wa zamani amefariki Dunia kwenye ajali hiyo taarifa ambayo imesahihishwa na klabu yake ya… Continue reading TP MAZEMBE YAKANUSHA TAARIFA ZA KIFO CHA RAINFORD KALABA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner