MAKONDA AWATUHUMU MAWAZIRI KUMCHAFUA SAMIA MITANDAONI

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

KAULI YA HARMONIZE KUMFANANISHA MUNGU NA MWANAMKE NI USHETANI

NYOTA WETU Msanii Harmonize ameingia katika mzozo na waumini wa dini ya Kiislamu huku wakimtaka afute mara moja maneno yake alioandika akimfananisha Mwenyezi Mungu na Mwanamke. Kwa mujibu wa kile alichoandika kupitia Insta Story yake leo, Msanii huyo anasema imemchukua miaka 30 kugundua ya kuwa pengine Mungu ni Mwanamke kwa asilimia Kubwa. Mmoja ya waumini… Continue reading KAULI YA HARMONIZE KUMFANANISHA MUNGU NA MWANAMKE NI USHETANI

SABABU ZA KLABU YA YOUNG AFRICANS KUFUNGIWA KUSAJILI NA FIFA

MICHEZO Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa taarifa kuwa Klabu ya Young Africans (Yanga) inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Taarifa imeeleza kuwa uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho… Continue reading SABABU ZA KLABU YA YOUNG AFRICANS KUFUNGIWA KUSAJILI NA FIFA

STEPHANE AZIZ KI ASAINI MKATABA MPYA YANGA KWA SHARTI HILI

MICHEZO Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Stephane Aziz Ki amesaini mkataba wa miaka (2) kuendelea kuitumikia klabu ya Yanga. Kabla hajasaini mkataba mpya alitoa sharti kuwa, endapo atasalia katika klabu hiyo wamhakikishie kwamba watamleta striker wa maana katika dirisha kubwa. Uongozi wa Yanga umekubali sharti hilo na mchezaji amesaini miaka miwili.

MSAMARIA MWEMA AFARIKI AKIWAOKOA WANAFUNZI WA SHULE

HABARI KUU Mbali ya miili saba ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Ghati Memorial iliyopo Murieti jijini Arusha kupatikana, pia mwili wa msamaria mwema aliyejaribu kuokoa wanafunzi hao (jina halijafahamika) umepatikana jioni hii. Ajali hiyo imetokea leo Aprili 12, 2024, saa 12 asubuhi baada ya gari la shule walimokuwemo wanafunzi kutumbukia kwenye korongo lililojaa maji… Continue reading MSAMARIA MWEMA AFARIKI AKIWAOKOA WANAFUNZI WA SHULE

WANAFUNZI WA GHATI MEMORIAL 7 WAOFIA KUFARIKI ARUSHA

HABARI KUU Diwani wa Kata ya Sinoni, Michael Kivuyo amesema Wananchi wakishirikiana na Kikosi cha Uokozi wanashiriki zoezi la kutafuta Wanafunzi 7 ambao hawajulikani walipo baada ya Gari la Shule ya Ghati Memorial kuanguka kwenye korongo, Asubuhi ya leo Aprili 12, 2024 Amesema “Waliokuwa kwenye gari ni Wanafunzi 11, Dereva na Matroni. Wanafunzi Watatu, Dereva… Continue reading WANAFUNZI WA GHATI MEMORIAL 7 WAOFIA KUFARIKI ARUSHA

VIDEO YA NGONO YA ASLAY ILIOVUJA HII HAPA

NYOTA WETU Dunia imebadilika sana, wakati Mange Kimambi anatangaza kuja na connection za wasanii haikuwa rahisi kudhani kama Aslay angeingia kwenye huu mkenge wa aibu kwasababu wengi wa mashabiki zake waliamini anajitambua, anajielewa, ni msanii mwenye heshima zake ambaye angeweza kuficha faragha zake. Lakini haijawa hivyo, mambo ya faragha kayaweka hadharani watu wameanza kumfturu yeye… Continue reading VIDEO YA NGONO YA ASLAY ILIOVUJA HII HAPA

KILICHOMUONDOA JAMHURI KIHWELO SINGIDA FOUNTAIN GATE HIKI HAPA

MICHEZO Kocha mkuu wa klabu ya Singida Fontaine Gate Fc, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ametupilia mbali taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa ametimka klabuni hapo baada kuiongoza kwa mechi mbili tu tangu apewe kibarua cha kuiongoza klabu hiyo kwenye mechi 10 zilizosalia za Ligi. Akizungumza juu ya taarifa hizo Julio amesema hafahamu chochote kuhusu taarifa… Continue reading KILICHOMUONDOA JAMHURI KIHWELO SINGIDA FOUNTAIN GATE HIKI HAPA

FISTON MAYELE AFUNGUKA MAZITO BAADA YA KUONDOKA TANZANIA

NYOTA WETU Mshambuliaji wa Pyramids FC ya Misri, Fiston Mayele akifanya mahojiano na kituo cha habari cha Azam, ameeleza kuwa kocha aliyemkuta ndani ya kikosi cha Pyramids wakati anatokea Yanga Sc alitaka kumtoa kwa mkopo Disemba 2023 lakini Rais wa Klabu hiyo alizuia jambo hilo na kumuondosha kocha huyo. “Wakati nakuja Pyramids kocha niliyemkuta alikuwa… Continue reading FISTON MAYELE AFUNGUKA MAZITO BAADA YA KUONDOKA TANZANIA

USIOE AU KUOLEWA KWASABABU HIZI

MAPENZI NAKUKUMBUSHA TU SI KWA UBAYA Usikubali kuoana na mbadala maana hitaji la moyo wako bado lipo palepale. Utakutana na majaribu mengi katika mahusiano hayo kwasababu ulioana na mbadala tarajia kukutana na watu wa ndoto zako wakiwa single na wenye sifa ulizozihitaji tangu awali. Kama hitaji lako lilikuwa ni pilau usile wali mweupe kisa umekosa… Continue reading USIOE AU KUOLEWA KWASABABU HIZI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner