SABABU ILIOFANYA YANGA KUFUNGIWA HII HAPA

Dar es salaam. Klabu ya #Yanga imefungiwa kusajili baada ya kushindwa kwenye kesi na mchezaji wake wa zamani Gael Bigirimana. Yanga ilipewa siku 45 kuhakikisha imemlipa mchezaji huyo raia wa Burundi malipo yake ya ada ya usajili. Klabu hiyo ilitakiwa iwe imemlipa ndani ya siku 45 tangu uamuzi huo ulipotolewa lakini haikutekeleza hukumu hiyo .… Continue reading SABABU ILIOFANYA YANGA KUFUNGIWA HII HAPA

YANGA YASIMIKA MINARA MIWILI YA 5G NBC PREMIER LEAGUE

Dar es salaam. Ligi ya NBC TANZANIA imeendelea leo kwa mchezo mmoja uliovurumshwa kwenye dimba la Chamanzi ukiwakutanisha Young Africans na Maafande wa JKT. Mchezo huu umeanza kwa timu zote mbili kucheza kwa tahadhali kubwa huku maafade wa JKT wakionekana kuwamiliki vizuri vijana wa Yanga. #Yanga inayonolewa na Muargentina Gamondi imefanikiwa kupata goli la kwanza… Continue reading YANGA YASIMIKA MINARA MIWILI YA 5G NBC PREMIER LEAGUE

BRICS YAPATA WANACHAMA WAPYA 6

Johannesburg Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa ni kuwa kundi la Mataifa yanayoibuka kiuchumi (BRICS), Januari 2024 litapokea Wanachama wapya ambao ni Argentina, Misri, Ethiopia, Iran,Saudia Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Ramaphosa amesema takriban nchi 40 Duniani zimeonesha nia ya kujiunga na #BRICS huku nchi 23… Continue reading BRICS YAPATA WANACHAMA WAPYA 6

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner