TAKWIMU ZA FEISAL SALUM NA STEPHAN AZIZ KI

MICHEZO Nani ataongeza goli leo katika kinyang’anyiro cha ufungaji ? Hizi ni Takwimu za Wachezaji vinara wa Azam FC na Young Africans kuelekea Mchezo wa ‘Dar Es Salaam Derby’ Saa 20:30 Usiku 📍FEISAL SALUM ‘FEI TOTO’ ▪︎ Matches 19 ▪︎ Minutes 1542 ▪︎ Goals 12 ▪︎ Assists 5 📍STEPHAN AZIZ KI ‘MASTER KEY’ ▪︎ Matches… Continue reading TAKWIMU ZA FEISAL SALUM NA STEPHAN AZIZ KI

SABABU GAMONDI KUMPIKU BENCHIKHA KWENYE TUZO

NYOTA WETU/MICHEZO Kocha Miguel Gamondi wa Yanga SC amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Februari akimpiku mpinzani wake mkubwa Abdelhak Benchikha, Kocha wa Simba pamoja na Ahmad Ally wa Tanzania Prisons Tuzo hii inakuwa ni ya pili kwa kocha Gamondi baada ya kutwaa ya mwezi Agosti mwaka jana, Gamondi ameiongoza klabu ya Yanga kwenye michezo… Continue reading SABABU GAMONDI KUMPIKU BENCHIKHA KWENYE TUZO

YANGA WAJA NA STAHILI MPYA YA TANO DiscoverCars.com

MICHEZO Meneja wa habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga, Ally Shaban Kamwe amewataka mashabiki wa klabu hiyo kusimama na kuinua mkono mmoja juu Ikafika dakika ya tano ya mchezo kama ishara ya kuonyesha vidole 5 katika mchezo wa kesho dhidi ya Coastal Union ikiwa ni ishara ya kuwapongeza wachezaji wa klabu hiyo kwa kazi… Continue reading YANGA WAJA NA STAHILI MPYA YA TANO DiscoverCars.com

ORODHA YA WACHEZAJI WALIOSAJILIWA LIGI YA EPL

Michezo Dirisha la usajili la Ligi kuu ya England limefungwa ,ambapo ni rasmi sasa vita ya kusaka Ubingwa wa ligi hiyo pendwa ulimwenguni umeshika kasi. Ligi hiyo yenye vilabu 20 imepata mtikisiko kwenye kipindi hiki baada ya Ligi kuu Saudia Arabia kumwaga fedha ambazo zimewavuta mastaa kwenda kwenye ligi ya Saudia. ORODHA YA WACHEZAJI WALIOSAJILIWA… Continue reading ORODHA YA WACHEZAJI WALIOSAJILIWA LIGI YA EPL

SABABU ILIOFANYA YANGA KUFUNGIWA HII HAPA

Dar es salaam. Klabu ya #Yanga imefungiwa kusajili baada ya kushindwa kwenye kesi na mchezaji wake wa zamani Gael Bigirimana. Yanga ilipewa siku 45 kuhakikisha imemlipa mchezaji huyo raia wa Burundi malipo yake ya ada ya usajili. Klabu hiyo ilitakiwa iwe imemlipa ndani ya siku 45 tangu uamuzi huo ulipotolewa lakini haikutekeleza hukumu hiyo .… Continue reading SABABU ILIOFANYA YANGA KUFUNGIWA HII HAPA

YANGA YASIMIKA MINARA MIWILI YA 5G NBC PREMIER LEAGUE

Dar es salaam. Ligi ya NBC TANZANIA imeendelea leo kwa mchezo mmoja uliovurumshwa kwenye dimba la Chamanzi ukiwakutanisha Young Africans na Maafande wa JKT. Mchezo huu umeanza kwa timu zote mbili kucheza kwa tahadhali kubwa huku maafade wa JKT wakionekana kuwamiliki vizuri vijana wa Yanga. #Yanga inayonolewa na Muargentina Gamondi imefanikiwa kupata goli la kwanza… Continue reading YANGA YASIMIKA MINARA MIWILI YA 5G NBC PREMIER LEAGUE

FIFA YAMKALIA KOONI RAIS WA SOKA HISPANIA

Zurich Shirikisho la soka Duniani, FIFA,linapanga kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya Rais wa Shirikisho la soka nchini Uhispania ,Luis Rubiales, kutokana na kitendo alichokionesha wakati wa fainali ya kombe la Dunia la Wanawake siku ya Jumapili. Rais huyo alimbusu mchezaji wa Timu ya Taifa ya Uhispania, Jenni Hermoso ,mdomoni wakati wa hafla ya kukabidhi… Continue reading FIFA YAMKALIA KOONI RAIS WA SOKA HISPANIA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner