THEMBA ZWANE KUTOCHEZA DHIDI YA YANGA DAR ES SALAAM

MICHEZO Kikosi cha Mamelodi Sundowns ambacho kinatarajiwa kutua nchini kesho Jumatano (Machi 27) kitakuwa bila nahodha wake Themba Zwane, ambaye hatacheza mchezo wa Jumamosi (Machi 30). Mamelodi itatua nchini na zaidi ya watu 70 kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Young Africans, utakaopigwa kwenye Uwanja… Continue reading THEMBA ZWANE KUTOCHEZA DHIDI YA YANGA DAR ES SALAAM

RAMADHAN WASSO AFARIKI DUNIA

NYOTA WETU Nyota wa zamani wa Simba na Yanga Ramadhan Wasso amefariki dunia leo nchini Burundi. Wasso raia wa Burundi ambaye usajili wake wa kutoka Simba kwenda Yanga ulitikisa sana mwanzoni wa mwaka 2000 atakumbukwa kwa ustadi mkubwa wa kumudu kucheza kama Mlinzi wa kushoto na mwenye uwezo mkubwa wa kupanda na kusaidia mashambulizi. Taarifa… Continue reading RAMADHAN WASSO AFARIKI DUNIA

SERIKALI YATETEA KAULI YA WAZIRI NDUMBARO

MICHEZO Siku chache baada ya Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo , Mh. Damas Ndumbaro kutoa kauli iliyoonekana kuchanganya watu kuelekea katika Michezo ya kimataifa inayozihusu Simba sc tanzania na yanga sc , Serikali imetokeza na kutoa neno juu ya kauli ya Waziri Ndumbaro. Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema “Lugha za michezo, utani… Continue reading SERIKALI YATETEA KAULI YA WAZIRI NDUMBARO

SABABU YA VITA YA BARAKA MPENJA NA HAJI MANARA HII HAPA

MASTORI “..Alikuja Mwamba wa Umarila Baraka Mpenja “sauti ya Radi” amekuwa kinara wa utangazaji wa soka kizazi cha 2010+ huku, amekua akifurahisha watu kwa kipindi kikubwa kutokana na namna anavyotangaza mpira.. “Badae kaibuka kilwa Finest Gharib Mzinga ambaye asili yake ni Zanzibar kajijengea Jina lake tofauti na Baraka Mpenja ni aina ya watangazaji wa miaka… Continue reading SABABU YA VITA YA BARAKA MPENJA NA HAJI MANARA HII HAPA

TAARIFA YA PACOME ZOUZOUA KWA SASA

MICHEZO Kiungo wa klabu ya Yanga, Pacome Zouzoua ambaye alipata majeraha na kushindwa kuendelea na mchezo dhidi ya Azam FC ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Ivory Coast kinachotarajiwa kucheza mechi za kirafiki. Taarifa ya Shirikisho la Mpira lvory Coast imebainisha kuwa Pacome anachukua nafasi ya lbrahim Sangare anayekipiga Nottingham Forest ya Ligi… Continue reading TAARIFA YA PACOME ZOUZOUA KWA SASA

KAMWE AFUNGUKA SIRI NZITO KUHUSU WACHEZAJI WALIOPATA MAJERAHA YANGA

MICHEZO Ofisa habari wa Yanga SC Ally Kamwe amewataka wananchi kutohofia majeraha yanayowakabili wachezaji wao badala yake wajipange kujitokeza Kwa wingi katika mchezo wao wa robo fainal ligi ya mabingwa Afrika mwisho wa mwezi huu dhidi ya Mamelod Sundown. “Wote tuliona namna wachezaji wetu wawili walivyoshindwa kuendelea na mchezo hapo jana Pacome alilazimika kutoka nje… Continue reading KAMWE AFUNGUKA SIRI NZITO KUHUSU WACHEZAJI WALIOPATA MAJERAHA YANGA

ALLY KAMWE ATOA LA MOYONI KUFUATIA KIPIGO CHA AZAM FC

MICHEZO Meneja wa Habari na Mawasiliani Yanga SC, Ally Kamwe amesema kuwa kipigo kutoka kwa Azam FC cha mabao 2-1 kimewaongezea hamasa katika mchezo wao war obo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika. Yanga itacheza dhidi ya Mamelodi Machi 29, mwaka huu katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kisha marudiano kuchezwa… Continue reading ALLY KAMWE ATOA LA MOYONI KUFUATIA KIPIGO CHA AZAM FC

FEISAL SALUM “FEI TOTO” APELEKA KILIO YANGA

MICHEZO Kiungo Feisal Salum Fei Toto amepeleka kilio Jangwani kwa kufunga bao la ushindi kwa Azam FC waliotundika Yanga SC 2-1 kwenye muendelezo wa ligi kuu soka ya NBC Tanzania Bara. Hiki ni kipigo cha pili kwa Yanga SC kwenye ligi kuu msimu huu wakisaliwa na alama 52 baada ya michezo 20 huku Azam FC… Continue reading FEISAL SALUM “FEI TOTO” APELEKA KILIO YANGA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner