TAKWIMU ZA FEISAL SALUM NA STEPHAN AZIZ KI

MICHEZO Nani ataongeza goli leo katika kinyang’anyiro cha ufungaji ? Hizi ni Takwimu za Wachezaji vinara wa Azam FC na Young Africans kuelekea Mchezo wa ‘Dar Es Salaam Derby’ Saa 20:30 Usiku 📍FEISAL SALUM ‘FEI TOTO’ ▪︎ Matches 19 ▪︎ Minutes 1542 ▪︎ Goals 12 ▪︎ Assists 5 📍STEPHAN AZIZ KI ‘MASTER KEY’ ▪︎ Matches… Continue reading TAKWIMU ZA FEISAL SALUM NA STEPHAN AZIZ KI

UTAMU WA MECHI YA AZAM NA YANGA HUKO HAPA

MICHEZO Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara inaendelea tena leo Machi 17, 2024 ambapo vinara wa Ligi hiyo, Young Africans Sc watakuwa na kibarua dhidi ya Wanalambalamba, Azam Fc katika pambano ambalo litatoa picha halisi ya mwelekeo wa mbio za ubingwa. Wakati Azam FC ikihitaji ushindi ili kurejea nafasi ya pili na kuendelea kuipa presha… Continue reading UTAMU WA MECHI YA AZAM NA YANGA HUKO HAPA

TIMU ZINAZOWANIA KUMNASA PRINCE DUBE

Uongozi wa Azam FC umethibitisha kupokea ofa kutoka katika timu za Simba SC ya Tanzania na Al Hilal ya Sudan, zikihitaji huduma ya straika wake Prince Dube.

Katika taarifa yake ilitolewa leo, Azam FC imesema inazifanyia kazi ofa hizo huku ikiweka milango wazi kwa timu nyingine zitakazomuhitaji mchezaji huyo raia wa Zimbabwe.

Prince Dube ambaye bado ana mkataba na Azam FC, alishaandika barua ya kuomba kuondoka klabuni hapo, na uongozi wa Azam FC ukaweka wazi utaratibu wa kimkataba ukimtaka kulipa Dola za Kimarekani 300,000/ ili kuvunja mkataba huo.

Klabu ya Simba imeonesha nia ya kutaka kumsajili mlinzi wa pembeni wa Singida Fountain Gate Nickson Kibabage ambaye yupo kwa mkopo Yanga SC .

Mkataba wa Singida na kibabage utaisha 2025, na atarejea katika kikosi cha Singida baada ya kumaliza mkataba wake wa mkopo kwa wananchi mwishoni mwa msimu huu. Taarifa za ndani zinasema kuwa Simba wanamhitaji Kibabage kwenda kuimarisha kikosi chao kuelekea msimu mpya wa mashindano na kumpatia kocha Benchikha kikosi kipana kwa ajili ya kurudisha mataji ambayo… Continue reading Klabu ya Simba imeonesha nia ya kutaka kumsajili mlinzi wa pembeni wa Singida Fountain Gate Nickson Kibabage ambaye yupo kwa mkopo Yanga SC .

SABABU ZA MAMELODI SUNDOWNS KUWA TISHIO KWENYE LIGI YA MABINGWA AFRIKA

MICHEZO Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ndiyo wapinzani wa Yanga SC kwenye Hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Sundowns mpaka sasa ndiye kinara kwenye msimamo wa ligi kuu ya nchini humo akiwa amecheza michezo 18, ameshinda 14, sare nne, hajapoteza mchezo na amekusanya alama 46 pia amewazidi alama 13 na ‘anaviporo’ viwili… Continue reading SABABU ZA MAMELODI SUNDOWNS KUWA TISHIO KWENYE LIGI YA MABINGWA AFRIKA

ARAFAT HAJI AONYA MASHABIKI WA TANZANIA KUWASAIDIA WAGENI

MICHEZO Makamu wa rais wa Yanga, Arafat Haji amesema Simba na Yanga zina nafasi ya kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa ikiwa zitajipanga vizuri na kutumia zaidi uwanja wa nyumbani na mashabiki wakiacha kusaidia wageni. “Wenzetu huwa na umoja sana linapokuja suala la timu zao kwenye michuano ya kimataifa, kwa mfano wale waliobahatika kwenda… Continue reading ARAFAT HAJI AONYA MASHABIKI WA TANZANIA KUWASAIDIA WAGENI

CAFCL ROBO FAINALI:YANGA VS MAMELODI,SIMBA VS AL AHLY

MICHEZO Klabu ya Yanga SC itakutana na Klabu ya Mamelodi Sundowns kutoka Afrika Kusini kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Katika Droo iliyochezeshwa leo, Mtani wa Jadi wa Yanga, Klabu ya Simba SC imepangiwa kuvaana na Klabu ya Al Ahly FC kutoka Misri Aidha, Klabu ya TP Mazembe itakutana na Klabu ya… Continue reading CAFCL ROBO FAINALI:YANGA VS MAMELODI,SIMBA VS AL AHLY

SABABU MUSONDA NA CHAMA KUITWA TIMU YA TAIFA ZAMBIA

MICHEZO Mshambuliaji wa Yanga Sc Kennedy Musonda na Kiungo Clatous Chama wa Simba wameendelea kula shavu la kuwa miongoni mwa wachezaji 24 wa Zambia watakaoshiriki mashindano maalum ya kirafiki yatakayofanyika baadaye mwezi huu huko Malawi baada ya kuitwa na Kocha wao wa Taifa. Kocha wa Zambia, Avram Grant amewaita Chama Musonda kutoka hapa ligi ya… Continue reading SABABU MUSONDA NA CHAMA KUITWA TIMU YA TAIFA ZAMBIA

YANGA YAICHAPA NAMUNGO

MICHEZO Wananchi wameendeleza mwenendo mzuri wa ushindi baada ya kuchukua alama zote tatu mbele ya Wauaji wa Kusini katika dimba la Majaliwa, Ruangwa licha ya kuwakosa baadhi ya wachezaji wake muhimu kama Djigui Diarra, Khalid Aucho, Joyce Lomalisa, Pacome Zouzoua na Kennedy Musonda. FT: Namungo Fc 1-3 Yanga Sc⚽ Bacca (og) 69′⚽ Mudathir 54′⚽ Mzize… Continue reading YANGA YAICHAPA NAMUNGO

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner