MAMA LISHE NA MTEJA WAKE WAFA WAKIZINI
MAGAZETI Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu.
MAGAZETI Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu.
MICHEZO Meneja wa habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga, Ally Shaban Kamwe amewataka mashabiki wa klabu hiyo kusimama na kuinua mkono mmoja juu Ikafika dakika ya tano ya mchezo…
NYOTA WETU
Mchekeshaji nguli wa Nigeria, John Okafor “MR IBU” amekatwa mguu jana baada ya kufanyiwa upasuaji mara saba na sasa na sasa amelazwa kwenye chumba cha wagonjwa mahututi “ICU”.
Taarifa iliochapishwa na binti yake kwenye ukurasa wake wa Instagram imewaomba Wanigeria wote wamuombee dua mbali na michango ya pesa za matibabu.
(more…)MICHEZO Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na kocha wake Mkuu Roberto Oliviera Concaives Do Carmo (Robertinho). Vilevile nae kocha wa Viungo Corneille Hategekemana…
NYOTA WETU. Msanii Diamond Platinum ameshinda tuzo ya Msanii bora Afrika katika tuzo za MTV Europe Music Award 2023 (MTVEMA2023). Hii inakuwa tuzo ya 3 ya MT VEMA ya Diamond…
MAGAZETI
Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye asubuhi ya Novemba 4,2023.
(more…)
MICHEZO
Klabu ya Ac Milan imetangaza haikuwa inafahamu chochote kuhusu uraibu wa kucheza kamari wa kiungo wake wa zamani, Sandro Tonali kabla ya kumuuza kwenda Newcastle United ya EPL.
(more…)NYOTA WETU. Mahakama imesema Asamoah Gyan (37) amlipe fidia aliyekuwa mke wake nyumba 2,moja ikiwa nchini Uingereza na nyingine ikiwa Accra, Ghana,pia ampe kituo cha mafuta cha petroli na gari…
HABARI KUU Rais wa Rwanda, Paul Kagame ameanzisha safari zisizohitaji visa kwa Waafrika wote ,na kuifanya Rwanda kuwa nchi ya 4 barani Afrika kufanya hivyo. "Pia tumeondoa vizuizi vya visa…
SPORTS. Chelsea is now at quarterfinal of Carabao cup after the win of 2-0 yesterday. These are scenarios by photo 📸