BRICS YAPATA WANACHAMA WAPYA 6

0:00

Johannesburg

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa ni kuwa kundi la Mataifa yanayoibuka kiuchumi (BRICS), Januari 2024 litapokea Wanachama wapya ambao ni Argentina, Misri, Ethiopia, Iran,Saudia Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).

Ramaphosa amesema takriban nchi 40 Duniani zimeonesha nia ya kujiunga na #BRICS huku nchi 23 kati ya hizo zikiwa tayari zimetuma maombi kwenye kundi hilo ambalo kwasasa wanachama wake ni Brazil, Urusi,India,China na Afrika Kusini.

Mkutano wa BRICS umefanyika leo Agosti 24,2023 Johannesburg, Afrika kusini na umehudhuriwa na viongozi zaidi ya 50 kutoka Mataifa Yasiyo wanachama wa BRICS, akiwemo Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Kurasa za Magazeti ya leo
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye...
Read more
Mwanamuziki wa Bongo fleva mbosso ameachia Video...
Unaipa Asilimia ngapi? https://videopress.com/v/FxmLnTc8?resizeToParent=true&cover=true&preloadContent=metadata&useAverageColor=true
Read more
Ndege iliyombeba Rais Ebrahim Raisi wa Iran...
HABARI KUU Helikopta iliyombeba Rais Ebrahim Raisi wa Iran...
Read more
FACTS ABOUT LIFE THAT CAN NOT BE...
Do not keep stupid friends all in the name of...
Read more
"THERE'S SOMEBODY IN POWER THAT IS DATING...
LOVE ❤ Bobrisky power man dating verydarkmanPopular activist, Verydarkman debunks...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  KATIBU MKUU CCM NCHIMBI AWATISHA VIONGOZI WAZEMBE

Leave a Reply